Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Status
Not open for further replies.
Mimi mwenyewe sijamaliza kuota tayari watu wana ndoto zao juu yangu😅
Usimbanie maviungo yenyewe haya tukifa yanaoza, maviungo tumepewa Bure, waja tunabaniana, sio poa mpe mwana, msisahau ma connection kutuvujishia, mambo ya mapango
 
Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.

Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.

Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya jina la kwanza E na la mwisho C adui wa kobazi JF

Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
Aiseeh 😂
Michael Jordan Lol GIF.gif
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom