Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Pumba tupu.Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya jina la kwanza E na la mwisho C adui wa kobazi JF
Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
😂😂Madam watu ndoto zao zipo kwako.Unapenda kujiamlia mambo mwanetu😅
Mimi mwenyewe sijamaliza kuota tayari watu wana ndoto zao juu yangu😅😂😂Madam watu ndoto zao zipo kwako.
Havinitoshi🤣🤣🤣Hebu vaa viatu vyangu mama mchuchu🥺
😂😂Alafu ujue hii ni fursa usichezee. Wenzak kam ww hutumia fursa kama hiziMimi mwenyewe sijamaliza kuota tayari watu wana ndoto zao juu yangu😅
HujamboSawa asante
Nakala kwa katibu Labella 🤣🤣
Anataka kupakwa mafuta huyuUnampendaje mtu hujawahi kumuona?
Usimbanie maviungo yenyewe haya tukifa yanaoza, maviungo tumepewa Bure, waja tunabaniana, sio poa mpe mwana, msisahau ma connection kutuvujishia, mambo ya mapangoMimi mwenyewe sijamaliza kuota tayari watu wana ndoto zao juu yangu😅
Wenzangu wa wapi🤣 acha watumie tu mi situmii hizi mambo🤭😂😂Alafu ujue hii ni fursa usichezee. Wenzak kam ww hutumia fursa kama hizi
Unaonaje ukampa wewe maviungo ya kupewa bure haya ili mtuletee hormus tujionee yaliyomo🤭Usimbanie maviungo yenyewe haya tukifa yanaoza, maviungo tumepewa Bure, waja tunabaniana, sio poa mpe mwana, msisahau ma connection kutuvujishia, mambo ya mapango
😂Noma sana ila wanawake 🙌 Kuna jamaa anawaza pumba mda huu.Wenzangu wa wapi🤣 acha watumie tu mi situmii hizi mambo🤭
Aiseeh 😂Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya jina la kwanza E na la mwisho C adui wa kobazi JF
Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
ELI COHEN mrembo wako seran anaenda hivi hivi daaah🤣🤣Unaonaje ukampa wewe maviungo ya kupewa bure haya ili mtuletee hormus tujionee yaliyomo🤭
Atakula hizo pumba tu hakuna namna🤨😂Noma sana ila wanawake 🙌 Kuna jamaa anawaza pumba mda huu.
Anajiamlia tu mambo mwanetu🤣