Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mm mnyonge sitak mashindano, Nataka changu kiwe Changu mwnyw 😂Sasa hiyo ligi, Mbaga hataweza!
Bora tuu ubaki na huyo C... E
Mm mnyonge sitak mashindano, Nataka changu kiwe Changu mwnyw 😂Sasa hiyo ligi, Mbaga hataweza!
Bora tuu ubaki na huyo C... E
Eh bhana ee bc kesho iwe zamu yangu kukunnuliaWe sijeuri ungekuja sasa mi nishatoka huko nilitaka nikununulie kiti moto
Umeona? Huyu ndio tunawezana sana! Hawa wengine hmm hapana aisee!Sasa hiyo ligi, Mbaga hataweza!
Bora tuu ubaki na huyo C... E
Basi tenaEh bhana ee bc kesho iwe zamu yangu kukunnulia
Ujinga tu😖
Unaogopa kupelekewa moto na vijana, unataka vibabu ili ww ndo uendeshe game 😂Kijana gani aliwahi kujigonga kwangu 😅😅
Mie vijana sitaki nataka zangu gari kukuu nihangaike nalo
Kijana gani aliwahi kujigonga kwangu 😅😅
Mie vijana sitaki nataka zangu gari kukuu nihangaike nalo
Nmefurah kukuona😎powa za kwako
Ndoa mi ya nini mshenga mbona unajiamulia mambo😅😅Hii wiki iliyoisha ni wewe tuu na ShesRise_1 ndio mnafunguliwa uzi, sasa mpewe nini?
Mimi nangoja posa ya ShesRise_1, niipeleke kwa Mshana Jr.
Aisseee asante kwa ujumbe murua na ulio chanyaIla ikitokea watu wamependana kweli, wakayajenga yaka stawi itakuwa poa sana.
Mara boooom tunakuwa tunaona anniversaries tu!!
I wish you positively, mpenda na mpendwaji!
Nimefurahi piaNmefurah kukuona
ChaiMimi sitaki kuwataja, nitaonekana nina nongwa. 😁
Mm mnyonge sitak mashindano, Nataka changu kiwe Changu mwnyw 😂
Ngoja niwe mpole 😂Sasa chako peke yako kwa Seran ni impossible, mbio ndegu zile. 😊
Yooo 😀😀😀Mi nahitaji wote kwa nafasi yao! Mmoja uongo🤣
Umeona? Huyu ndio tunawezana sana! Hawa wengine hmm hapana aisee!