Mm mnyonge sitak mashindano, Nataka changu kiwe Changu mwnyw πSasa hiyo ligi, Mbaga hataweza!
Bora tuu ubaki na huyo C... E
Eh bhana ee bc kesho iwe zamu yangu kukunnuliaWe sijeuri ungekuja sasa mi nishatoka huko nilitaka nikununulie kiti moto
Umeona? Huyu ndio tunawezana sana! Hawa wengine hmm hapana aisee!Sasa hiyo ligi, Mbaga hataweza!
Bora tuu ubaki na huyo C... E
Basi tenaEh bhana ee bc kesho iwe zamu yangu kukunnulia
Ujinga tuπ
Unaogopa kupelekewa moto na vijana, unataka vibabu ili ww ndo uendeshe game πKijana gani aliwahi kujigonga kwangu π π
Mie vijana sitaki nataka zangu gari kukuu nihangaike nalo
Kijana gani aliwahi kujigonga kwangu π π
Mie vijana sitaki nataka zangu gari kukuu nihangaike nalo
Nmefurah kukuonaπpowa za kwako
Ndoa mi ya nini mshenga mbona unajiamulia mamboπ πHii wiki iliyoisha ni wewe tuu na ShesRise_1 ndio mnafunguliwa uzi, sasa mpewe nini?
Mimi nangoja posa ya ShesRise_1, niipeleke kwa Mshana Jr.
Aisseee asante kwa ujumbe murua na ulio chanyaIla ikitokea watu wamependana kweli, wakayajenga yaka stawi itakuwa poa sana.
Mara boooom tunakuwa tunaona anniversaries tu!!
I wish you positively, mpenda na mpendwaji!
Nimefurahi piaNmefurah kukuona
ChaiMimi sitaki kuwataja, nitaonekana nina nongwa. π
Mm mnyonge sitak mashindano, Nataka changu kiwe Changu mwnyw π
Ngoja niwe mpole πSasa chako peke yako kwa Seran ni impossible, mbio ndegu zile. π
Yooo πππMi nahitaji wote kwa nafasi yao! Mmoja uongoπ€£
Umeona? Huyu ndio tunawezana sana! Hawa wengine hmm hapana aisee!