Nampenda Shunie wa JF

Watakua wamerekebisha...

Si una jua ni muda wa kuchoma mkaa huu...
Hela itakuwepo pia Mgegedo heavy utaupata toka kwa bwana Nel
Hahahahahaaa kama umeota vile mkuu nafumua tanuri usiku wa leo,keshokutwa nauza,pesa zote nampatia huyo le totoz atafute wowowo
 
Sitaki wowowo langu linanitosha mkuu ila hizo hela ukiuza niletee zote
Hahahahahaaa kama umeota vile mkuu nafumua tanuri usiku wa leo,keshokutwa nauza,pesa zote nampatia huyo le totoz atafute wowowo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha tu kupewa ban uzi umeshafungwa na kufutwa sisi ban imetukutia tupo celebrity bada ya jini mkata kamba kuingia yaani haijachukua dk 5 kaanza witness j kidogo Raynavero woiiii mara mm
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ahaaaa hapa chini kasema mihela ipo tayar ni ww tu kumkubalia..

Kama hela ipo sasa kula toto hilo apo lishautenga
Anipe mahela tu ila mgegedo hakuna akatafute wa kumgegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…