Nampenda Shunie wa JF

Nampenda Shunie wa JF

Thread mbona ilifungwa siku moja kabla ya kupewa ban
Maybe viranja walikuwa wanasoma comments kwanza
Acha kabisa yaani halafu tulikuwa tunapiga story wenyewe mara paap jini mkata kamba huyo hapo yaan dk 5 hazijachukua ban ikaanza kutembea
Yani baada ya kuufufua ule uzi wa love connect ndo mlimvuruga mhusika
Nadhan alireport comments zote
Acha kabisa yaani halafu tulikuwa tunapiga story wenyewe mara paap jini mkata kamba huyo hapo yaan dk 5 hazijachukua ban ikaanza kutembea
Kuna jamaa alifungua uzi wa kuwalaumu mods kwenye compaints forum
Akataja na uzi wa gire
Kabla sijaisoma vizuri post yake nikajikuta nimepigwa ban
 
Maybe viranja walikuwa wanasoma comments kwanza

Yani baada ya kuufufua ule uzi wa love connect ndo mlimvuruga mhusika
Nadhan ali

Kuna jamaa alifungua uzi wa kuwalaumu mods kwenye compaints forum
Akataja na uzi wa gire
Kabla sijaisoma vizuri post yake nikajikuta nimepigwa ban
Yaan hao viranja mpaka celebrity walikuwa wanapita kimyakimya na jini mkata kamba alivyokuja ndio kuanza kupewa ban
 
Aisee nakuwaje mke wako tena mkuu mm nimezaa na watoto 3 mkuu nashukuru sana kwa kunipenda ubarikiwe sana mkuu
Mimi ni tajiri wa matrekta namiliki trekta NNE na pawatila saba

Nimelima hekta 2500 za mpunga na 700 za mahindi kwanini nijizuie moyo kupenda mwezi wa kumi nashusha combining harvester Nina haki ya kuonyesha misuli kwa watoto wa kike nikiwa frii ntakuchek
 
Acha maneno tuma mahela

Aisee sikujua kama nimechumbia MTU maarufu mnoo jf

Kiufupi shunie anashika nafasi ya NNE jf kwa kutuma post nyingi sana yani katika member laki NNE na nusu wa jf waliotapakaa duniani shunie ni wa NNE ametanguliwa kidogo na rutashubanyuma
Numbisa
Mshana
Shunie

Hii inanifanya namimi niwe mume wa mwanamke maarufu duniani

Imagine hata nyani ngabu ameachwa mbali mnooo aisee

Kuoa ni kuchagua thru shunie namimi nimaarufu sasa jf kwakuwa ni mume wa MTU maarufu yani nisawasawa na mume wa fatou bensouda
 
Yani shunie ametuma msg 86000+ elfu themanini na sita
Likes receive 160000+ laki moja na sitini
Likes given ni 260000+ laki mbili na sitini

Kumiliki mwanamke kama huyu sio jambo dogo
 
Mapenzi bwana, unayempenda unakuta hakupendi, ila yuko busy kumpemda asiyempenda!
 
Aisee sikujua kama nimechumbia MTU maarufu mnoo jf

Kiufupi shunie anashika nafasi ya NNE jf kwa kutuma post nyingi sana yani katika member laki NNE na nusu wa jf waliotapakaa duniani shunie ni wa NNE ametanguliwa kidogo na rutashubanyuma
Numbisa
Mshana
Shunie

Hii inanifanya namimi niwe mume wa mwanamke maarufu duniani

Imagine hata nyani ngabu ameachwa mbali mnooo aisee

Kuoa ni kuchagua thru shunie namimi nimaarufu sasa jf kwakuwa ni mume wa MTU maarufu yani nisawasawa na mume wa fatou bensouda
Yani shunie ametuma msg 86000+ elfu themanini na sita
Likes receive 160000+ laki moja na sitini
Likes given ni 260000+ laki mbili na sitini

Kumiliki mwanamke kama huyu sio jambo dogo
Aiseee mkuu
 
Back
Top Bottom