Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Aisee kumbe hadi wagogo wanapenda pesa?nilijua wachaga tu!Shunie ndugu yangu najua unapenda hela hebu changamkia pesa za huyu mkulima wa mahindi hana cha kuzifanyia hizo pesa
alitaka kunipa trekta na pesa cash nimekataa mimi sasa kizuri kula na ndugu yako
usiseme sijakuambia angalia usipishane na gari la mshahara nakuaminia shunii