Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.