Ngoja aje utamjuaAspirin ndo nani?
Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
Ila nahisi kuna watu watanielewa tofauti aisee!Yap ni mdada mmoja Poa sana, ila ana Mr wake humu bahati nzuri umejiwahi mapemaaa
Hapana mkuu umejitanabaisha kwa uzuri tu, ni mdada Poa hata mimi namkubali sana na hajisikii kiukweliIla nahisi kuna watu watanielewa tofauti aisee!
Upendo wake ni wa AGAPE hata mimi nahisi ninao upendo wa aina hiyo kwako.[emoji40]Yap ni mdada mmoja Poa sana, ila ana Mr wake humu bahati nzuri umejiwahi mapemaaa
Napenda pic yako balaa hako kamdomoUpendo wake ni wa AGAPE hata mimi nahisi ninao upendo wa aina hiyo kwako.[emoji40]
are you sure?Tatizo sky ana wanaume wengi
Asante sanaNimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
Napenda pic yako balaa hako kamdomo
Hahaha saivi hako kamdomo hakapo tena, hapo ni kipindi cha BC huko Korea, saivi nimezaliwa upya Bongoland na mdomo wa chai jaba[emoji39]Napenda pic yako balaa hako kamdomo
ayaaaa....naombea acwe na bwanaaYap ni mdada mmoja Poa sana, ila ana Mr wake humu bahati nzuri umejiwahi mapemaaa
Asante kwa kushukuruAsante sana