Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

Doctor Mama Amon

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
2,089
Reaction score
2,725

Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali

Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kijiji cha Kasheshe, Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya.

Nawapongeza waumini wa Nyaishozi Karagwe, mkoani Kagera, kwa kumzaa na kulea Kardinali Rugabwa.

Pia nawapongeza wanafunzi wake wote wa Seminari Ndogo ya Katoke, Biharamulo kwa mwalimu wao kuwa Kardinali.

Pia namkaribisha sana Kardinali Rugambwa huku kwetu "Sumbawanga Town".

Wote tumwekeni katika maombi.

 
Posuta
 
Hajazaliwa Karagwe.
Yaani ni tusi kubwa sana kumfananisha Muhaya na Wanyambo. Jiheshimu huyo kazaliwa Bunena, Bukoba mjini Kagera.
 
Baada ya Kumpongeza Kardinali...
Uje na thread ingine sasa ya kumshambulia Rais Samia...

It is no surprising...

Ha ha ha...

Huwa sishambulii mtu hata siku moja.

Mara zote natumia kanuni za urazini timamu katika kusanifu, kutetea, na kubomoa hoja, bila kumgusa mleta hoja/wazo.

Hivyo ndivyo wanazuoni tunavyopaswa kuenenda.

Na tayari NEC imeshatoa mwongozo. Katibu Mwenezi wa CCM amesema kuwa tuendelee kuelimishana kuhusu vitendo vya utekelezaji wa ibara ya 59 katika Ilani ya CCM (2020-2025) ili kufanya tathmini stahiki inayotuweesha kuona yafuatayo;
  1. Kama serikali inatekeleza mipango halali (whether what is done is legally right),
  2. Iwapo sababu ya kutekeleza mipango hiyo ni halali (whether the reason for what it is done is legally right) na
  3. Endapo mazingira ya utekelezaji huo ni halali (whether how, when, and who does or assists in doing it is legally right).
Ibara hiyo inasomeka ifuatayo:































 


Kardinali atatusaidia nini katika maisha ya kila siku ya Watanzania, what i see ni Roman Catholic in Rome ndio wanajua faida yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…