Chakula tu kwa watoto kimekuwa shida Hadi udumavu ndio vingine mtaweza? Sisi ni next level kwanzia kipato,makazi bora,miundombnu bora,huduma za jamii
Yaani uchagani vijijin ni kama mjini Kila huduma IPO
Uchagan 90% ya Kila nyumba Ina umeme na maji Safi ya bomba wakati Kagera Hadi Léo Kuna maeneo watu Wana share Maji na tumbili
View attachment 2688532View attachment 2688533