Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

Marekebisho kidogo
Huyu ni mdogo wa Rugambwa sr
Na ni wa BUNENA BUKOBA SIYO NYAISHOZI KAMA UNAVYOSEMA
Kadinali mwenyewe kakiri yéyé ni mnyambo Ila alizaliwa bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya Hapo
Pia askofu kilaini kasema hivyohivyo
Kwahyo ni mnyambo pure
 
wachaga hata awe askofu elements za ukabila ziko palepale, nilitegemea yule askofu mkuu jimbo kuu la Dar Es Salaam Thadeus Ruwaichi angeukwa ukadinali inaonekana ana makandokando. Km wakati akiwa askofu wa jombo katoliki la Mbulu aliondoka na chuo cha ualimu na kuipeleka kwao Kibosho mtu km huyo ana usafi gani.
Kuna chuo chá ualimu kibosho kinachomilikiwa na kanisa? Fala kbs wewe
 
wachaga hata awe askofu elements za ukabila ziko palepale, nilitegemea yule askofu mkuu jimbo kuu la Dar Es Salaam Thadeus Ruwaichi angeukwa ukadinali inaonekana ana makandokando. Km wakati akiwa askofu wa jombo katoliki la Mbulu aliondoka na chuo cha ualimu na kuipeleka kwao Kibosho mtu km huyo ana usafi gani.
Unasumbuliwa na umaskini,chuki na wivu
Nikupe taarifa tu ktk Baraza la maaskofu tec,Wachaga ndio wanaongoza kwa idadi Karibu 34% peleka chuki mbali
 
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basi
Acha upotoshaji
Kadinali mwenyewe kakiri yéyé ni mnyambo Ila alizaliwa bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya Hapo
 
Naona wengi hapa wanaongea wasivyo na uhakika navyo
Nimemsikiliza kadinali Rugambwa himself,anaelezea history yake kwanza anasema jina Rugambwa sio la ukoo wake ni jina alilopewa na mjomba wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa WA the late kadinali Rugambwa(.Laurian)
Siku alipokuwa anazaliwa kadinali (Protase) ndipo Siku aliyokuwa anakuja nchini kutoka Rome kadinali Rugambwa (Laurian)
Siku hyo mjomba wake alimpeleka mama yake hospital kujifungua lakini akamuacha mama yake pale akaenda kumpokea kadinali Rugambwa (Laurian)alipotoka kumpokea ndipo akaenda hospital kumuona mama WA kadinali na kukuta amejifungua ndipo akasema mtoto Huyu ni baraka za kadinali Rugambwa ( Laurian) hivyo ataitwa RUGAMBWA
Kwahyo kadinali ni MNYAMBO Ila alizaliwa bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya Hapo.
Cc
instanbul
britanicca
 
... wachaga wamekosea wapi? Ndio wanaongoza kwa idadi ya maaskofu, mapadre, masista, mashemasi, n.k. Anyway, uamuzi wa Papa ni alfa na omega; wanavyosema wao signature yake ni mwisho.
Utafika wakati wao,kwa sasa,ni huyu,
Baba yake ndie alikuwa kardinal wa kwanza Africa!
Raulean Rugambwa
 
Nimemsikiliza juzi anakiri mwenyewe yéyé ni mnyambo WA karagwe Ila kazaliwa na kukulia bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya Hapo
Kwahyo sio MHAYA
[emoji23][emoji23][emoji23] hebu tuanzie hapo mhaya ni nani? Kuna tofauti gani kati ya mhaya na mnyambo

Wanyambo, wayoza, waziba, waamba, wanyaiangiro nk = wahaya...
Kinachofanya wanyambo warise ni kuwa walikuwa na wilaya yao ya karagwe toka zamani huku kwingine kote kukiitwa Bukoba...na wahaya walikuwa wote toka Bukoba...

Koo za kifalme ( abahinda) zilizotawala Karagwe ndo hizo hizo zilizotawala Bukoba ikiwemo kiziba

Huu ugomvi wa ndani wa kindugu katika kabila la wahaya...usiuingilie...ndugu wakigombana nenda kalime...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha porojo
Mhaya na mnyambo ni makabila mawili tofauti hâta kama yanaingiliana tamaduni
Kwahyo kadinali ni MNYAMBO SIO MHAYA hyo Ndiyo point
Hâta wapare zamani walikuwa Wachaga kutokana na ugomvi wakahamishiwa milimani kwahyo hatuwezi kusema wapare ni wachaga kwakuwa Zaman walikuwa kitu kimoja
It's two different tribes
Nasubiria porojo ingine
 
Naona wengi hapa wanaongea wasivyo na uhakika navyo
Nimemsikiliza kadinali Rugambwa himself,anaelezea history yake kwanza anasema jina Rugambwa sio la ukoo wake ni jina alilopewa na mjomba wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa WA the late kadinali Rugambwa(.Laurian)
Siku alipokuwa anazaliwa kadinali (Protase) ndipo Siku aliyokuwa anakuja nchini kutoka Rome kadinali Rugambwa (Laurian)
Siku hyo mjomba wake alimpeleka mama yake hospital kujifungua lakini akamuacha mama yake pale akaenda kumpokea kadinali Rugambwa (Laurian)alipotoka kumpokea ndipo akaenda hospital kumuona mama WA kadinali na kukuta amejifungua ndipo akasema mtoto Huyu ni baraka za kadinali Rugambwa ( Laurian) hivyo ataitwa RUGAMBWA
Kwahyo kadinali ni MNYAMBO Ila alizaliwa bunena kwakuwa baba yake alikuwa mfanyakazi WA afya Hapo.
Cc
instanbul
britanicca
Acha kuforce mambo mkuu...mengine unakausha tu...eti wanyambo ni sawa na wapare[emoji23][emoji23]....ni sawa na wapare wakati wahaya na wanyambo wanasikilizana kila kitu, chakula ni kile kile, utamaduni ni ule ule...yaan ni tofauti kabisa na wachaga ambavyo hawasikilizani...
Kasome vzr wahaya ni wakina nani haswa...

Mkuu kasome vzr historia ya wahaya na karagwe kingdom.....

Lakin tuachane na hayo...ipo siku Bukoba na kagera kwa ujumla itatoa Pope subiri...juzi tu mapadre 11 wamapata upadre hapo Bukoba na kila mwaka mapadre wa jimbo wanaongezeka kwa kasi sana...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Utafika wakati wao,kwa sasa,ni huyu,
Baba yake ndie alikuwa kardinal wa kwanza Africa!
Raulean Rugambwa
Sio Kweli
Jina Rugambwa alipewa na mjomba wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa WA kadinali Lauranne Rugambwa,Siku anazaliwa huyu Ndiyo Siku kadinali alkuwa anawasili kutoka Rome kwahyo mjomba wake akampa jina Rugambwa kwa heshima ya rafiki yake(the late kadinali Rugambwa)
 
Acha porojo
Mhaya na mnyambo ni makabila mawili tofauti hâta kama yanaingiliana tamaduni
Kwahyo kadinali ni MNYAMBO SIO MHAYA hyo Ndiyo point
Hâta wapare zamani walikuwa Wachaga kutokana na ugomvi wakahamishiwa milimani kwahyo hatuwezi kusema wapare ni wachaga kwakuwa Zaman walikuwa kitu kimoja
It's two different tribes
Nasubiria porojo ingine
Basi na mimi ni myoza kuanzia leo sio mhaya[emoji23][emoji23]...
Maana wayoza walikuwa na Mfalme wao, taratibu zao na hadi leo kuna museum yao kama kabila hapo Bukoba....
Same as to karagwe na wanyambo...

Mkuu mambo haya acha yakupite tu...hujui lolote kuhusu kabila la wahaya na wanyambo...

Mfano mdogo tu...kuna koo za kihaya zinaextend kutoka Bukoba hado karagwe...yaan mfano koo ya giri ( wagiri) watu wake wako Bukoba kote hadi huko karagwe unaposema wanyambo[emoji1787][emoji1787]...
Wew ushawahi ona ukoo wa massawe kwa wapare

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha kuforce mambo mkuu...mengine unakausha tu...eti wanyambo ni sawa na wapare[emoji23][emoji23]....ni sawa na wapare wakati wahaya na wanyambo wanasikilizana kila kitu, chakula ni kile kile, utamaduni ni ule ule...yaan ni tofauti kabisa na wachaga ambavyo hawasikilizani...
Kasome vzr wahaya ni wakina nani haswa...

Mkuu kasome vzr historia ya wahaya na karagwe kingdom.....

Lakin tuachane na hayo...ipo siku Bukoba na kagera kwa ujumla itatoa Pope subiri...juzi tu mapadre 11 wamapata upadre hapo Bukoba na kila mwaka mapadre wa jimbo wanaongezeka kwa kasi sana...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hahaha utapotosha wengine SIO mm
Hoja ni je kadinali Rugambwa ni MHAYA au mnyambo ?
Jibu ni MNYAMBO huo ndio mjadala
Hakuna kupotosha watu hapa [emoji2][emoji2]
 
Tarehe 22 pale Kristu mfalme Kuna tangazo la upadrisho WA mapadri 17 na mashemasi 23
Jimbo katoliki Moshi ndio linaongoza kwa idadi ya maaskofu (34% ya maaskofu tec ni kutoka Kilimanjaro) mapadre( WA Jimbo na shirika) Tanzania
Pia ni Jimbo la pili kwa parokia nyingi Baada ya Jimbo kuu la dar
Nb
Kwasasa Kuna parokia teule 15 zinasubiri Saini kuwa parokia kamili
 
Hahaha utapotosha wengine SIO mm
Hoja ni je kadinali Rugambwa ni MHAYA au mnyambo ?
Jibu ni MNYAMBO huo ndio mjadala
Hakuna kupotosha watu hapa [emoji2][emoji2]
Mkuu wanyambo wako ndani ya wahaya...usisahau hilo...

Hebu soma hapa mkuu acha ubishi...maana mimi nitaongea sana
Screenshot_20230715-073630.jpg
Screenshot_20230715-073701.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Basi na mimi ni myoza kuanzia leo sio mhaya[emoji23][emoji23]...
Maana wayoza walikuwa na Mfalme wao, taratibu zao na hadi leo kuna museum yao kama kabila hapo Bukoba....
Same as to karagwe na wanyambo...

Mkuu mambo haya acha yakupite tu...hujui lolote kuhusu kabila la wahaya na wanyambo...

Mfano mdogo tu...kuna koo za kihaya zinaextend kutoka Bukoba hado karagwe...yaan mfano koo ya giri ( wagiri) watu wake wako Bukoba kote hadi huko karagwe unaposema wanyambo[emoji1787][emoji1787]...
Wew ushawahi ona ukoo wa massawe kwa wapare

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wayoza,waziba ni wahaya Sawa n'a wakibosho,WA uru,WAROMBO wote ni Wachaga
 
Tarehe 22 pale Kristu mfalme Kuna tangazo la upadrisho WA mapadri 17 na mashemasi 23
Jimbo katoliki Moshi ndio linaongoza kwa idadi ya maaskofu (34% ya maaskofu tec ni kutoka Kilimanjaro) mapadre( WA Jimbo na shirika) Tanzania
Pia ni Jimbo la pili kwa parokia nyingi Baada ya Jimbo kuu la dar
Hao mapadre wenu ni low quality ndo maana hawatambi katika kanisa katoliki...na skendo nyingi za mapadre tz ni hao hao kutoka moshi akiwemo yule aliyelawiti watoto zaidi ya kumi...

Bukoba mapadre ni wengi na high quality...wamesukwa haswa...ndo maana wanazidi kurise kama mabalozi wa papa, kardinali nk...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
HII article ni kama Wachaga
Hâta Sisi uchagan Kila jamii ilikuwa na kiongozi wake
Mfano rombo alikuwa Mangi ngalai
Marangu Mangi mareale
Machame Mangi shangali
Kibosho Mangi Sina
Old Moshi Mangi Meli
Mkuu WA mamangi wote Mangi mareale
Ok umepata jibu sasa...swali...

Je watu wa Marangu ni Wachaga au sio wachaga[emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom