Msudu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2021
- 1,050
- 1,705
Tumsifu Yesu KristuRoma locuta, causa finita est.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumsifu Yesu KristuRoma locuta, causa finita est.
Mm Ni mkkkt ila wee Ni mpuuzi tu hukui kuwa Roma Catholic ndio kanisa mama duniaa acha ujinga tuungane kumpongeza kardinali huyo na kanisa pia kwa kumpata kadinali mpya kwa nyakati hz tulizopo kwani pengeni kizazi chote Cha 2000 kingeisha bila kuwepo kardinali
Asante kwa ufafanuzi, ni ufahamu mkubwa sana ulio nao baina yetu, hivyo asante kwa kutushirikisha.Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania…
Kuna Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC (Askofu Mkuu Gervas J. M. Nyaisonga) ambaye husaidiwa na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (Askofu Flavian Kasala Matindi)…..Na kuna Mtendaji wa TEC ambaye ni Katibu Mkuu wa TEC (Padre Dr. Charles Kitima)…
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ni muunganiko/mkusanyiko wa Maaskofu wote Katoliki Tanzania….
Askofu Yuda Thadei Ru’Waichi yeye ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam (Metropolitani ya Dar es salaam)…..
Kanisa Katoliki Tanzania lina jumla ya Majimbo Makuu Saba na majimbo 27 (7 ecclesiastical provinces/metropolitan dioceses and 27 suffragan dioceses)
Majimbo makuu saba ni Dar es salaam (Askofu wake Mkuu ni Yuda Thadei Ru’waichi O.F.M.Cap), Mwanza (Askofu wake Mkuu ni Renatus Leonard Nkwande), Arusha (Askofu wake Mkuu ni Isack Amani Massawe), Tabora (Askofu wake Mwandamizi - Coadjuctur Protace Rugambwa ambaye amekuwa elevated kuwa Kadinali), Dodoma (Askofu wake Mkuu ni Beatus Kinyaiya O.F.M.Cap), Songea (Askofu wake Mkuu ni Damian Dennis Dallu) na Mbeya (Askofu wake Mkuu ni Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga).
Kila Askofu ni Kiongozi katika Jimbo lake (hii ni kwa Maaskofu Wakuu Jimbo Kuu-Archbishops na Maaskofu wa Majimbo-Bishops).
Kuhusu cheo/hadhi ya Mwadhama Kadinali ndani ya Kanisa…Kadinali huteuliwa na Papa na huwa ni Cheo cha Maisha yote…Polycarp Kadinali Pengo haitwi Kadinali Mstaafu, Kikanuni Askofu akitimiza miaka 75 hustaafu majukumu yake ya Kiaskofu (ingawa bado huwa na fursa ya kuendelea na majukumu yake ya Kichungaji).
Hivyo Pengo ataendelea kuwa Kadinali mpaka siku yake ya mwisho Duniani. Na kwa sasa yeye anaitwa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo.
Hivyo Maaskofu Katoliki wote wakiwemo Makadinali (bila kujali hadhi zao) wanawajibika moja kwa moja kwa Baba Mtakatifu ambaye kwa sasa ni Papa Francis.
Mojawapo ya role ya Kadinali wa Kanisa Katoliki ni kushiriki katika Uchaguzi wa Papa.
NB: Kadinali huteuliwa miongoni mwa Maaskofu Wakuu, Maaskofu na Mapadri…Hivyo hata Padri wa kawaida anaweza kuwa elevated to Cardinal Priest.
Huu ndio ufahamu wangu kidogo…..Nipo tayari kusahihishwa pale nilipoteleza.
You nailed it all.Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania…

HahahahahaUpumbavu huanzia hapa Sasa.
Milele Amina…🙏🏿🙏🏿🙏🏿Tumsifu Yesu Kristu
Naam Roma ikisema imesema... wachaga wamekosea wapi? Ndio wanaongoza kwa idadi ya maaskofu, mapadre, masista, mashemasi, n.k. Anyway, uamuzi wa Papa ni alfa na omega; wanavyosema wao signature yake ni mwisho.
Kwanini kipindi chote hapa katikati tangu astaafu Pengo, kwanini hawakuchagua KadinaliView attachment 2683335
Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali
Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya.
Nawapongeza waumini wa Nyaishozi Karagwe, mkoani Kagera, kwa kumzaa na kulea Kardinali Rugabwa.
Pia nawapongeza wanafunzi wake wote wa Seminari Ndogo ya Katoke, Biharamulo kwa mwalimu wao kuwa Kardinali.
Pia namkaribisha sana Kardinali Rugambwa huku kwetu "Sumbawanga Town".
Wote tumwekeni katika maombi.
Asante kwa kujidanganya.Wewe ndiye huna uelewa sahihi.
Kanisa Katoliki kama taasisi ya kidini linayo mafundisho ya jamii pana kuhusu siasa za nchi yenye jumuiya mseto (plural society) kama iliyo kwa taasisi baki za kidini
Kwa mujibu wa KK kanuni za maadili asilia kuhusu hulka ya ubinadamu ndio kigawe kidogo cha shirika cha mafundisho ya dini zote
Kwa mujibu wa kanuni hii habari ya SASA NI ZAMU YA DINI/MADHEHEBU FULANI ni ujinga mtupu
Kwa hiyo KK halina shida nchi kuongozwa mtu kutoka dini yoyote iliradi awe na busara ya kuzingatia kanuni za maadili asilia kuhusu hulka ya ubinadamu
Iwe leka si bojo.... Kardinali amezaliwa Bunena mwaka 1960 kitongoji Nyaigombe.Pili mwaka 1990 baada ya ziara ya Papa John Paul II kuja Tanzania na kumpa sakrmenti ya upadrisho ndiyo akaletwa Karagwe -Nyaishozi. Pia majina ya Rugambwa,Mutalemwa nk sio majina yetu wanyambo.Napinga taarifa hii.
Kualiwa BUnena hukumnyimi uhuru wa kuhamia Karagwe
Kaka zake, dada zake, na nduguze wote wako Nyaishozi, Karagwe.
Huko ndiko makazi yao ya kudumu yaliko
Hayo mambo ya kwenda Karagwe kuhudumu ni nadharia batili
Wachaga wamepewa KkKT kinachoendelea huko ni mitifuano tuu... wachaga wamekosea wapi? Ndio wanaongoza kwa idadi ya maaskofu, mapadre, masista, mashemasi, n.k. Anyway, uamuzi wa Papa ni alfa na omega; wanavyosema wao signature yake ni mwisho.
Sasa Samia anaingiaje apa mkuu?.Baada ya Kumpongeza Kardinali...
Uje na thread ingine sasa ya kumshambulia Rais Samia...
It is no surprising...
... kama katiba yao hailazimishi hivyo kwanini wafanye hivyo?Kwanini kipindi chote hapa katikati tangu astaafu Pengo, kwanini hawakuchagua Kadinali
Iwe leka si bojo.... Kardinali amezaliwa Bunena mwaka 1960 kitongoji Nyaigombe.Pili mwaka 1990 baada ya ziara ya Papa John Paul II kuja Tanzania na kumpa sakrmenti ya upadrisho ndiyo akaletwa Karagwe -Nyaishozi. Pia majina ya Rugambwa,Mutalemwa nk sio majina yetu wanyambo.
Upo vizuriHa ha ha...
Huwa sishambulii mtu hata siku moja.
Mara zote natumia kanuni za urazini timamu katika kusanifu, kutetea, na kubomoa hoja, bila kumgusa mleta hoja/wazo.
Hivyo ndivyo wanazuoni tunavyopaswa kuenenda.
Na tayari NEC imeshatoa mwongozo: Tuendelee kutafakari vitendo vya utekelezaji wa ibara ifuatayo katika Ilani ya CCM (2020-2025) ili kuisaidia serikali kuhakikisha kwamba mipango inayotekelezwa (what is done), sababu ya kutekeleza mmmipango hiyo (why it is done) na mazingira ya utekelezaji huo (how, when, and who does it) vinasikilizana na kuheshimu katiba na sheria za nchi mara zote:
View attachment 2683386
View attachment 2683388
View attachment 2683389
View attachment 2683390
View attachment 2683391
View attachment 2683393
View attachment 2683394
View attachment 2683395
View attachment 2683396
View attachment 2683398
View attachment 2683399
View attachment 2683400
View attachment 2683401
View attachment 2683402
View attachment 2683403
View attachment 2683404
Shida ni nini Wahaya na Wanyambo?
tuseme Rugambwa ni mhaya au tuseme ni mnyambo kipi kinabadilisha utume wake, tuache ukabila wa kijinga , Hongera kwa Rugambwa matarajio kwanza bado ni kijana na ana maono makubwa tumuombee anaweza kuwa papa wa kwanza Muafrika
Nimepatiwa Habari kuwa ni miongoni mwa waandishi walioanzisha concept ya jumuiya ndogo ndogo ambazo na walokole wameudopt na waislamu pia wanaelekea huko baada ya kuonekana inafanya vizur