NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwa wanaoujua mpira wakiweka kando ushabiki Basi wataungana na Mimi na kusema kuwa Joash Onyango Alikuwa anafuta sana makosa ya beki mpenda sifa Enonga.
Mzee wa kucheza na jukwaa aliwateka wanasimba mpaka kuonekana yeye NI Bora kuliko Onyango.
Mzee wa kucheza na saikolojia ya mashabiki aliwahi kulia na kutetemeka alipokosa penati dhidi ya Orlando Pirates, kulia kwake aliwashawishi mashabiki na wachambuzi mpaka wakasema Enonga ni mzalendo anajituma sana ikapelekea kupewa mkataba.
Sifa za Enonga zimefunika mazuri ya Joash Onyango haijalishi Enonga kafanya makosa Mara ngapi lakini mzigo wa lawama unakwenda kwa Onyango.
Binafsi Enonga siyo Bora mbele Ya Onyango sema tu Onyango ni mtu kazi Hana muda wa kucheza na jukwaa kila anapofanya Tackling.
Kila la heri Joash Onyango katika mapambano yako mapya, acha tuone Nani ataangushiwa mzigo wa miba.