Nampongeza Beki kitasa Joash Onyango kwa kuukubali kujiunga na Singida Fountain Gate "hongera sana broo"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kwa wanaoujua mpira wakiweka kando ushabiki Basi wataungana na Mimi na kusema kuwa Joash Onyango Alikuwa anafuta sana makosa ya beki mpenda sifa Enonga.

Mzee wa kucheza na jukwaa aliwateka wanasimba mpaka kuonekana yeye NI Bora kuliko Onyango.

Mzee wa kucheza na saikolojia ya mashabiki aliwahi kulia na kutetemeka alipokosa penati dhidi ya Orlando Pirates, kulia kwake aliwashawishi mashabiki na wachambuzi mpaka wakasema Enonga ni mzalendo anajituma sana ikapelekea kupewa mkataba.

Sifa za Enonga zimefunika mazuri ya Joash Onyango haijalishi Enonga kafanya makosa Mara ngapi lakini mzigo wa lawama unakwenda kwa Onyango.

Binafsi Enonga siyo Bora mbele Ya Onyango sema tu Onyango ni mtu kazi Hana muda wa kucheza na jukwaa kila anapofanya Tackling.

Kila la heri Joash Onyango katika mapambano yako mapya, acha tuone Nani ataangushiwa mzigo wa miba.
 
Onyango ni bonge ya beki ila ana damu ya kunguni

Ligi ya Tanzania kwenye timu zote sizani kama imewahi kutokea kuchezwa na beki mkali anayemzidi onyango
 
Onyango ni kati ya mabeki bora kabisa kwenye ligi ya NBC. Ikitokea akacheza na lbrahim Bacca timu moja na kipa awe Diarra basi kiukweli kabisa hiyo timu itakuwa na clean sheet lukuki!
Mimi ni Mwananchi,napenda sana uchezaji wa huyu mzeee
 
Kwa wanaoujua mpira wakiweka kando ushabiki Basi wataungana na Mimi na kusema kuwa Joash Onyango Alikuwa anafuta sana makosa ya beki mpenda sifa Enonga.

Mzee wa kucheza na jukwaa aliwateka wanasimba mpaka kuonekana yeye NI Bora kuliko Onyango.

Mzee wa kucheza na saikolojia ya mashabiki aliwahi kulia na kutetemeka alipokosa penati dhidi ya Orlando Pirates, kulia kwake aliwashawishi mashabiki na wachambuzi mpaka wakasema Enonga ni mzalendo anajituma sana ikapelekea kupewa mkataba.

Sifa za Enonga zimefunika mazuri ya Joash Onyango haijalishi Enonga kafanya makosa Mara ngapi lakini mzigo wa lawama unakwenda kwa Onyango.

Binafsi Enonga siyo Bora mbele Ya Onyango sema tu Onyango ni mtu kazi Hana muda wa kucheza na jukwaa kila anapofanya Tackling.

Kila la heri Joash Onyango katika mapambano yako mapya, acha tuone Nani ataangushiwa mzigo wa miba.
Elezea kuhusu utopolo wenzako.
 
Onyango ni kati ya mabeki bora kabisa kwenye ligi ya NBC. Ikitokea akacheza na lbrahim Bacca timu moja na kipa awe Diarra basi kiukweli kabisa hiyo timu itakuwa na clean sheet lukuki!
Mimi ni Mwananchi,napenda sana uchezaji wa huyu mzeee
Kwa wasiojua mpira wataleta ushabiki na kukupinga unachokizungumza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watz ni wanafiki sana si ni huyuhuyu mlikuwa mnasema kazeeka mara babu kajichokea huyo sasa hivi kawa mcharo au siyo,na hapo ni kwa mkopo tu ila mdomo kama wote!!
 
Back
Top Bottom