Kwanini mnapendaga sana kuwa manabii kwenye vitu ambavyo ni probability? Kwanini msiache watu wafanye kazi ndio mje mtoe mawazo yenu badala ya kudraw conclusion kwa kitu ambacho bado hakijafanyika?Hakika sasa hivi tujiandae kama taifa kuingizwa kwenye kashfa kubwa za uonevu na ubaguzi mkubwa
Inatakiwa mifumo na mahitaji ya nchi, au ya jiwe??!!!Vipi kama JPM kawaona hawatoshi au kuendana na mfumo wake kulingana na mahitaji yake?
Mrembo, mbona unaleta mizaha ya MMU kwny mambo serious?!!!Acheni wivu Chadema. Mlitaka apewe Mbowe?
Mifumo na mahitaji ya nchi.Inatakiwa mifumo na mahitaji ya nchi, au ya jiwe??!!!
Ebu wacha kihere here wewe MATAGA wa koromitje1: Kwani wewe kwa uelewa wako nini maana ya kujifunza kazi?
2: Ni nani asiyejifunza kazi mpya hata kama inatokana na taaluma yake?
N.B; angalia vitu kama mazingira, rasilimali watu na vitu,dira na vipaumbele vya taasisi husika and the likes..
Naona ufipa umepanic sasa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji124][emoji124]Ebu wacha kihere here wewe MATAGA wa koromitje
Katiba iko wazi tuu, lzm awe:Na vipi Kama walioletwa na mifumo kwake awateue akaona hawatoshi na Kuna mtu anatosha kabisa kwa nafasi hiyo, kwa mamlaka aliyonayo hawezi kufanya hivyo?
Mlitaka apewe nani ili muache maneno ya kwamba fulani hafai au hatoshi kwenye nafasi hii???
Embe lisilowiva, ukila unaumwa meno, hata kama meno ni makali kiasi gani!Kwanini mnapendaga sana kuwa manabii kwenye vitu ambavyo ni probability? Kwanini msiache watu wafanye kazi ndio mje mtoe mawazo yenu badala ya kudraw conclusion kwa kitu ambacho bado hakijafanyika?
N.B; people and things are always dynamic not static at all [emoji124][emoji124][emoji124]
In actual fact, makatibu wakuu wa siku nyingi waliopo na wamerukwa kidogo ni dis incentive.Katiba iko wazi tuu, lzm awe:
"a senior civil servant"
vinginevyo ni uvunjaji wa Katiba
Tusilaumu sana. Kabla ya kuwa katibu mkuu wa Ccm alikuwa mtumishi wa umma. Maana alikuwa UDSMMkuu achana na kujifunza kwanza..Katibu Mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.Je,Bashiru ni mtumishi wa umma?
Hawa Akina bashiru wamezuliliwa kuingia USNampongeza sana Dr Bashiru Alky, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary.
Ila nina reservations mbili tu.
Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali.
Hilo ni moja.
Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je? CCM itaendelea kuwa vipi?
Maoni pls.
Kwahiyo ameteuliwa akiwa anatokea UDSM kwasasa?Tusilaumu sana. Kabla ya kuwa katibu mkuu wa Ccm alikuwa mtumishi wa umma. Maana alikuwa UDSM
Du...!Hawa Akina bashiru wamezuliliwa kuingia US
Hawezi ziba pengo la Kijazi, ambaye amekuwa Katibu Mkuu wizara ya Ujenzi, Active Balozi miaka kadhaa na Chief Secretary kwa zaidi ya miaka mitano.kuwa katibu mkuu wa chama ni uzoefu tosha wa kujua mfumo wote wa serikali na namna unavyo fanya kazi.
kumbuka chama na serikali ni "chanda" na "pete"
lkn kubwa kuliko yote Dr. Bashiru ni mtu "sharp" sana ktk kujifunza na kuelewa mambo kwa haraka(ni injini kubwa ) naamini ndani ya muda mfupi sana utaona matokeo yake makubwa.
tunamuombea Mungu amsimamie na amlinde ktk majukumu yake.
Nampongeza sana Dr Bashiru Ally, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary. Ila nina reservations mbili tu.
Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku-run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali. Hilo ni moja.
Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je, CCM itaendelea kuwa vipi?
Maoni pls.
Mkuu hivi hilo neno 'reservations' ulikua unamaanisha nini??? SijaelewaNampongeza sana Dr Bashiru Ally, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary. Ila nina reservations mbili tu.
Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku-run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali. Hilo ni moja.
Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je, CCM itaendelea kuwa vipi?
Maoni pls.
Wafanyakazi wote wa serikali ni ccm upiAwamu hii watu wanateuliwa kwa misingi ya uchama! Vyeo ambavyo vilistahili kupewa watu ambao wamefanya vizuri katika idara mbalimbali za serikali, wanazawadiwa makada wa chama.
Huu utaratibu wa kuirudisha Nchi miaka ya 1970's, 1980's, haukubaliki hata kidogo.
Maneno ya Bashiru hayo....anaenda kujifunza kazi