Nampongeza Dkt. Bashiru Ally lakini...

Nampongeza Dkt. Bashiru Ally lakini...

Hakika sasa hivi tujiandae kama taifa kuingizwa kwenye kashfa kubwa za uonevu na ubaguzi mkubwa
Kwanini mnapendaga sana kuwa manabii kwenye vitu ambavyo ni probability? Kwanini msiache watu wafanye kazi ndio mje mtoe mawazo yenu badala ya kudraw conclusion kwa kitu ambacho bado hakijafanyika?

N.B; people and things are always dynamic not static at all [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Inatakiwa mifumo na mahitaji ya nchi, au ya jiwe??!!!
Mifumo na mahitaji ya nchi.

Na vipi Kama walioletwa na mifumo kwake awateue akaona hawatoshi na Kuna mtu anatosha kabisa kwa nafasi hiyo, kwa mamlaka aliyonayo hawezi kufanya hivyo?[emoji848]
 
1: Kwani wewe kwa uelewa wako nini maana ya kujifunza kazi?

2: Ni nani asiyejifunza kazi mpya hata kama inatokana na taaluma yake?

N.B; angalia vitu kama mazingira, rasilimali watu na vitu,dira na vipaumbele vya taasisi husika and the likes..
Ebu wacha kihere here wewe MATAGA wa koromitje
 
Na vipi Kama walioletwa na mifumo kwake awateue akaona hawatoshi na Kuna mtu anatosha kabisa kwa nafasi hiyo, kwa mamlaka aliyonayo hawezi kufanya hivyo?
emoji848.png
Katiba iko wazi tuu, lzm awe:
"a senior civil servant"
vinginevyo ni uvunjaji wa Katiba
 
Ukisoma Cv ya Kijazi, Ombeni Sefue au Philemoni Luhanjo ni watu waliopitia nafasi mbalimbali za utumishi wa umma, sasa Dr. Bashiru kesho au kueshokutwa akipwaya tatizo halitakuwa la kwake bali aliyemteua kwa sababu uzoefu katika utumishi wa umma serikalini hana kama watangulizi wake. Wakati anateuliwa kuongoza timu ya kufuatilia mali za ccm aliandaliwa na akapitia chama nchi nzima na kukijua, Je kwa nafasi ya ubalozi na CS kaandaliwa lini.
Mlitaka apewe nani ili muache maneno ya kwamba fulani hafai au hatoshi kwenye nafasi hii???
 
Kwanini mnapendaga sana kuwa manabii kwenye vitu ambavyo ni probability? Kwanini msiache watu wafanye kazi ndio mje mtoe mawazo yenu badala ya kudraw conclusion kwa kitu ambacho bado hakijafanyika?

N.B; people and things are always dynamic not static at all [emoji124][emoji124][emoji124]
Embe lisilowiva, ukila unaumwa meno, hata kama meno ni makali kiasi gani!
 
Mkuu achana na kujifunza kwanza..Katibu Mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.Je,Bashiru ni mtumishi wa umma?
Tusilaumu sana. Kabla ya kuwa katibu mkuu wa Ccm alikuwa mtumishi wa umma. Maana alikuwa UDSM
 
Nampongeza sana Dr Bashiru Alky, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary.
Ila nina reservations mbili tu.

Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali.
Hilo ni moja.

Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je? CCM itaendelea kuwa vipi?

Maoni pls.
Hawa Akina bashiru wamezuliliwa kuingia US
 
kuwa katibu mkuu wa chama ni uzoefu tosha wa kujua mfumo wote wa serikali na namna unavyo fanya kazi.
kumbuka chama na serikali ni "chanda" na "pete"
lkn kubwa kuliko yote Dr. Bashiru ni mtu "sharp" sana ktk kujifunza na kuelewa mambo kwa haraka(ni injini kubwa ) naamini ndani ya muda mfupi sana utaona matokeo yake makubwa.

tunamuombea Mungu amsimamie na amlinde ktk majukumu yake.
 
Hawezi ziba pengo la Kijazi, ambaye amekuwa Katibu Mkuu wizara ya Ujenzi, Active Balozi miaka kadhaa na Chief Secretary kwa zaidi ya miaka mitano.
Linganisha ufito na boriti.
 
Nampongeza sana Dr Bashiru Ally, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary. Ila nina reservations mbili tu.

Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku-run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali. Hilo ni moja.

Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.

Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.

Je, CCM itaendelea kuwa vipi?

Maoni pls.

Swali kwa wana ccm tu. Bashiru ana kadi ya ccm namba ngapi ?
 
Nampongeza sana Dr Bashiru Ally, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary. Ila nina reservations mbili tu.

Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku-run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali. Hilo ni moja.

Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.

Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.

Je, CCM itaendelea kuwa vipi?

Maoni pls.
Mkuu hivi hilo neno 'reservations' ulikua unamaanisha nini??? Sijaelewa
 
Awamu hii watu wanateuliwa kwa misingi ya uchama! Vyeo ambavyo vilistahili kupewa watu ambao wamefanya vizuri katika idara mbalimbali za serikali, wanazawadiwa makada wa chama.

Huu utaratibu wa kuirudisha Nchi miaka ya 1970's, 1980's, haukubaliki hata kidogo.
Wafanyakazi wote wa serikali ni ccm upi
 
Maneno ya Bashiru hayo....anaenda kujifunza kazi

Huyu katibu Mkuu kiongozi angekuwa ana umri wa miaka 28 sawa, lakini inawezekana Bashiru ana umri wa kukaribia kustaafu sasa anajifunza nini?
 
Back
Top Bottom