Nampongeza Dkt. Bashiru Ally lakini...

Nampongeza Dkt. Bashiru Ally lakini...

Uteuzi wake kwanza ni batili kuringana na sheria /Katiba ya Nchi asa Ibara ya 116 .Katibu mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.
Je Bashiru amekua lini mtumishi wa umma na mwandamizi ?
Labda Rais atumie tu mile kipengere kua ata akivunja sheria hamna wa kumuajibisha.
Anajua taratibu za utumishi wa umma huyo??
Anaenda kujifunza kazi akiwa ofisini
 
Katibu mkuu kiongozi inataka mtu mwenye experience kubwa mwenye kujua taratibu mbalimbali za kuendesha nchi.
Watu ambao washapita idara mbalimbali za serekali na kujua jinsi serekali inavyoendeshwa.
Bashiru katoka UDSM kaja chamani sasa gafla KMK
Kwa sasa hata wakimuweka mtoto mdogo wa chekechea ataweza tu maaana hana maamuzi
 
Ila Jiwe anataka watu wenye Underexperience ambao atawaendesha atakavyo. Hataki watu wanaofuata taratibu za kiutumishi na watakaohoji maamuzi yake .
Lengo ni kufanya system ya serekali kua vulnerable ili afanye atakavyo
Huo ndiyo ukweli na woote waliofanikisha kuharibu uchaguzi ndiyo anawapa kiinua mgongo
 
Nampongeza sana Dr Bashiru Alky, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary.
Ila nina reservations mbili tu.

Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali.
Hilo ni moja.

Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je? CCM itaendelea kuwa vipi?

Maoni pls.
Maoni yangu ni kwamba, Boss ndie anaongoza kila mahali. Hivyo wao hufuata anacho taka Boss.
"Mh. Rais nikushukuru sana kwa imani yako kwangu hii ni mara ya pili ukinipa imani kutumikia Taifa letu katika wadhifa mkubwa kwanza ndani ya @ccm_tanzania na sasa hivi katika utendaji ndani ya serikali imani hiyo nitailipa kwa imani"- Balozi Dkt. Bashiru Ally

"Leo siwezi kusema mengi kwa sababu 2 ya kwanza ni kwa mazingira ambayo nimepata uteuzi huu, ulinipa kazi ambazo zingeweza kuchukua mwezi mzima na ningeondoka kesho au keshokutwa, jana jioni napata taarifa kwamba umeniteua" - Balozi Dkt Bashiru Ally

"Bado natafakari sana nitafanya nini na vipi kukidhi matarajio yako kwa imani uliyonipa kwa mfulululizo, niwaombe Watanzania wote mniombee ili niweze kukidhi matarajio ya Mh. Rais"- Balozi Dkt. Bashiru Ally

#KiapoBaloziBashiru
 
Uteuzi wake kwanza ni batili kuringana na sheria /Katiba ya Nchi asa Ibara ya 116 .Katibu mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.
Je Bashiru amekua lini mtumishi wa umma na mwandamizi ?
Labda Rais atumie tu mile kipengere kua ata akivunja sheria hamna wa kumuajibisha.
Huyu mzee sijui anafanya kwa makusudi? Sijui ni bahati mbaya! Ila kiukweli tangu aingie madarakani, amekuwa akijitahidi sana kuondoa morali ya utendaji kazi kwa watumishi wengi wa umma.

Kwa sasa ameigeuza nchi kuwa mali ya ccm badala ya Watanzania.
 
Bashiru kawekwa hapo makusudi.Mkulu anataka kutimiza malengo yake,huyu bwana ni ndio mzee kwa Kila jambo.muda utaongea.
Nampongeza sana Dr Bashiru Alky, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary.
Ila nina reservations mbili tu.

Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali.
Hilo ni moja.

Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je? CCM itaendelea kuwa vipi?

Maoni pls.
 
Kwa sasa hata wakimuweka mtoto mdogo wa chekechea ataweza tu maaana hana maamuzi
Akina marehem Kijazi walikua wanazuia watu kutumbuliwa sasa anakuja mropokaji tuu atakayeangalia maslahi ya chama sio taifa.... atakua Yess Boss
 
Akina marehem Kijazi walikua wanazuia watu kutumbuliwa sasa anakuja mropokaji tuu atakayeangalia maslahi ya chama sio taifa.... atakua Yess Boss
Hakika sasa hivi tujiandae kama taifa kuingizwa kwenye kashfa kubwa za uonevu na ubaguzi mkubwa
 
Katibu mkuu kiongozi inataka mtu mwenye experience kubwa mwenye kujua taratibu mbalimbali za kuendesha nchi.
Watu ambao washapita idara mbalimbali za serekali na kujua jinsi serekali inavyoendeshwa.
Bashiru katoka UDSM kaja chamani sasa gafla KMK
Atafanya Kama mkuu wake tuu.. maana boss wake hafuati taratibu zozote
 
-
**Akizungumza baada ya kula kiapo, ameeleza kuwa kwa maadili na utamaduni, kazi za Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi sio kazi za maneno bali ni za kusikiliza, kujifunza na kuchambua, kuamua na kutenda
-
Amesema, "Wale waliotegemea kwamba nitazungumza tena kwa kweli nitazungumza kwa tahadhari na umakini kwasababu kiapo mmekisikia. Ni Katiba, Sheria, taratibu, mila, desturi"
-
Aidha, amezungumzia suala la umuhimu wa mawasiliano ndani ya Serikali na kati ya Serikali na Umma akisema watasimamia hilo**

Maneno ya Bashiru hayo....anaenda kujifunza kazi
1: Kwani wewe kwa uelewa wako nini maana ya kujifunza kazi?

2: Ni nani asiyejifunza kazi mpya hata kama inatokana na taaluma yake?

N.B; angalia vitu kama mazingira, rasilimali watu na vitu,dira na vipaumbele vya taasisi husika and the likes..
 
Awamu hii watu wanateuliwa kwa misingi ya uchama! Vyeo ambavyo vilistahili kupewa watu ambao wamefanya vizuri katika idara mbalimbali za serikali, wanazawadiwa makada wa chama.

Huu utaratibu wa kuirudisha Nchi miaka ya 1970's, 1980's, haukubaliki hata kidogo.
pale siasa inapowekwa mbele kuliko professionalism.
matokeo yake tunakosa ubunifu ,tunakosa weledi na functionality at high order.
 
Ila Jiwe anataka watu wenye Underexperience ambao atawaendesha atakavyo. Hataki watu wanaofuata taratibu za kiutumishi na watakaohoji maamuzi yake .
Lengo ni kufanya system ya serekali kua vulnerable ili afanye atakavyo
is why even kwenye ubunge. wanapitishwa watu wa hovyo ambao hawana ethic na professionalism zao. why? ni rahis kuwa control kuliko mtu anaesimamia ethics.
 
Back
Top Bottom