Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Una akili ya papasi.Acheni wivu Chadema. Mlitaka apewe Mbowe?
Uendeshaji wa serikali si suala la CHADEMA na CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili ya papasi.Acheni wivu Chadema. Mlitaka apewe Mbowe?
Anajua taratibu za utumishi wa umma huyo??Uteuzi wake kwanza ni batili kuringana na sheria /Katiba ya Nchi asa Ibara ya 116 .Katibu mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.
Je Bashiru amekua lini mtumishi wa umma na mwandamizi ?
Labda Rais atumie tu mile kipengere kua ata akivunja sheria hamna wa kumuajibisha.
Kwa sasa hata wakimuweka mtoto mdogo wa chekechea ataweza tu maaana hana maamuziKatibu mkuu kiongozi inataka mtu mwenye experience kubwa mwenye kujua taratibu mbalimbali za kuendesha nchi.
Watu ambao washapita idara mbalimbali za serekali na kujua jinsi serekali inavyoendeshwa.
Bashiru katoka UDSM kaja chamani sasa gafla KMK
Ndo jiwe anataka iwe hivyo...hataki kukosolewaBashir pale atakuwa ni sawa na robot tu
Huo ndiyo ukweli na woote waliofanikisha kuharibu uchaguzi ndiyo anawapa kiinua mgongoIla Jiwe anataka watu wenye Underexperience ambao atawaendesha atakavyo. Hataki watu wanaofuata taratibu za kiutumishi na watakaohoji maamuzi yake .
Lengo ni kufanya system ya serekali kua vulnerable ili afanye atakavyo
Achana naye huyo....anapuyanga tuuUna akili ya papasi.
Uendeshaji wa serikali si suala la CHADEMA na CCM.
Wangekupa weweMlitaka apewe nani ili muache maneno ya kwamba fulani hafai au hatoshi kwenye nafasi hii???
Maoni yangu ni kwamba, Boss ndie anaongoza kila mahali. Hivyo wao hufuata anacho taka Boss.Nampongeza sana Dr Bashiru Alky, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary.
Ila nina reservations mbili tu.
Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali.
Hilo ni moja.
Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je? CCM itaendelea kuwa vipi?
Maoni pls.
Huyu mzee sijui anafanya kwa makusudi? Sijui ni bahati mbaya! Ila kiukweli tangu aingie madarakani, amekuwa akijitahidi sana kuondoa morali ya utendaji kazi kwa watumishi wengi wa umma.Uteuzi wake kwanza ni batili kuringana na sheria /Katiba ya Nchi asa Ibara ya 116 .Katibu mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.
Je Bashiru amekua lini mtumishi wa umma na mwandamizi ?
Labda Rais atumie tu mile kipengere kua ata akivunja sheria hamna wa kumuajibisha.
Labda Wasira kwani uwezo anao mku uKuna mwingine makini zaidi anakuja CCM, yaweza kuwa wewe au yeyote.
Nampongeza sana Dr Bashiru Alky, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary.
Ila nina reservations mbili tu.
Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali.
Hilo ni moja.
Pili, ukitaka kumuondoa mtu sehemu mpaishe aende juu.
Pale CCM akiwa Katibu Mkuu alianza kuweka mambo sawa ila sijui kama kisiasa alikuwa ana rhyme na misimamo tunayoiona.
Misimamo ya Bashiru ilikuwa ya kisomi.
Je? CCM itaendelea kuwa vipi?
Maoni pls.
Akina marehem Kijazi walikua wanazuia watu kutumbuliwa sasa anakuja mropokaji tuu atakayeangalia maslahi ya chama sio taifa.... atakua Yess BossKwa sasa hata wakimuweka mtoto mdogo wa chekechea ataweza tu maaana hana maamuzi
Hakika sasa hivi tujiandae kama taifa kuingizwa kwenye kashfa kubwa za uonevu na ubaguzi mkubwaAkina marehem Kijazi walikua wanazuia watu kutumbuliwa sasa anakuja mropokaji tuu atakayeangalia maslahi ya chama sio taifa.... atakua Yess Boss
Atafanya Kama mkuu wake tuu.. maana boss wake hafuati taratibu zozoteKatibu mkuu kiongozi inataka mtu mwenye experience kubwa mwenye kujua taratibu mbalimbali za kuendesha nchi.
Watu ambao washapita idara mbalimbali za serekali na kujua jinsi serekali inavyoendeshwa.
Bashiru katoka UDSM kaja chamani sasa gafla KMK
Mkuu achana na kujifunza kwanza..Katibu Mkuu kiongozi anateuliwa na Rais kutoka kwa Maafisa waandamizi wa Utumishi wa Umma.Je,Bashiru ni mtumishi wa umma?Anajua taratibu za utumishi wa umma huyo??
Anaenda kujifunza kazi akiwa ofisini
Mlitaka apewe nani ili muache maneno ya kwamba fulani hafai au hatoshi kwenye nafasi hii?kuna mtu kama balozi masilingi yuko marekani kule ana exposure ya kutosha
1: Kwani wewe kwa uelewa wako nini maana ya kujifunza kazi?-
**Akizungumza baada ya kula kiapo, ameeleza kuwa kwa maadili na utamaduni, kazi za Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi sio kazi za maneno bali ni za kusikiliza, kujifunza na kuchambua, kuamua na kutenda
-
Amesema, "Wale waliotegemea kwamba nitazungumza tena kwa kweli nitazungumza kwa tahadhari na umakini kwasababu kiapo mmekisikia. Ni Katiba, Sheria, taratibu, mila, desturi"
-
Aidha, amezungumzia suala la umuhimu wa mawasiliano ndani ya Serikali na kati ya Serikali na Umma akisema watasimamia hilo**
Maneno ya Bashiru hayo....anaenda kujifunza kazi
Ndio ungeacha kulalamika au sio? [emoji23][emoji23][emoji1787]Wangekupa wewe
pale siasa inapowekwa mbele kuliko professionalism.Awamu hii watu wanateuliwa kwa misingi ya uchama! Vyeo ambavyo vilistahili kupewa watu ambao wamefanya vizuri katika idara mbalimbali za serikali, wanazawadiwa makada wa chama.
Huu utaratibu wa kuirudisha Nchi miaka ya 1970's, 1980's, haukubaliki hata kidogo.
is why even kwenye ubunge. wanapitishwa watu wa hovyo ambao hawana ethic na professionalism zao. why? ni rahis kuwa control kuliko mtu anaesimamia ethics.Ila Jiwe anataka watu wenye Underexperience ambao atawaendesha atakavyo. Hataki watu wanaofuata taratibu za kiutumishi na watakaohoji maamuzi yake .
Lengo ni kufanya system ya serekali kua vulnerable ili afanye atakavyo