BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Lilikuwa wazo la kishamba sana, kwamba unamu empower mtu kwa kumpa nafasi ya bure ni ujuhaNilisha leata uzi humu kuhusu maumivu yangu juu ya hii kitu inayo itwa Viti maalumu,binafsi nakereka Sana na hilijambo,tuna wabunge wa kila Jimbo na wanalipwa na Kodi zetu,hapo hapo wapo wa viti maalum ambao kiuhalisia sijawahi kuona michango yao ktk chochote kile na wengine hawajawahi ongea chochote ama kuchangia chochote ndani ya bunge tangu waingie mule,wanalipwa kwa Kodi zetu,inauma Sana jamani ifikie mahali wahusika mtuonee huruma,hapohapo ukichunguza utagundua wengi wamepewa viti maalum ajili ni nyumba ndogo za wakubwa,kweli jamani!kwa nchi changa Kama hii,Sasa mwaka huu yamejidhihirisha hadharani na wao kwa wao wanasemana hadharani,ifike mahali Tanzania tuamke jamani,
Yesu na kairuki wamezaa mtoto kila mtu anafahamu .
Viti maalumu vimefutwa?Lilikuwa wazo la kishamba sana, kwamba unamu empower mtu kwa kumpa nafasi ya bure ni ujuha
Alisema yeye (Kangi) anamfananisha rais na Yesu.
Rais hajawahi sema yeye anafanana na Yesu.
Hawa wabunge wa viti maalumu kumbe vitumbua vyao huwa vinashughulikiwa ipasavyo
Hawezi kulijua akili ndogo huyoAlikataa lakini akampigia pande mdogo wake! Au hilo hulijui?
Mtumwa wa kifikra, jina kuu lipitalo majina yote ni la Mungu aliye hai pekee. Majina mengineyo yoyote uyafahamuyo ni majina tu kama mengine.Jamani hili jina la Yesu lilishatumika vibaya na yule mvuta bangi, sasa na huku JF tusiendelee kulitumia vibaya, tulipe heshima yake. Ni jina kubwa sana wala hakuna mwanadamu anayestahili kuitwa jina hilo chini ya jua.
Kunyamaza humaanisha kukubali!Alisema yeye (Kangi) anamfananisha rais na Yesu.
Rais hajawahi sema yeye anafanana na Yesu.
Sijui wewe ni dini gani, lakini kama ni mkristo kasome Wafipi 4;9-11 na Matendo 4:10-12.Mtumwa wa kifikra, jina kuu lipitalo majina yote ni la Mungu aliye hai pekee. Majina mengineyo yoyote uyafahamuyo ni majina tu kama mengine.
Kwa kauli yako mwenyewe, usimlazimishe huyo jamaa kutumia jina lolote atakavyo maana hujui imani yake. Maandiko duniani yapo mengi sana na ndiyo yanayotumika kutuweka vifungoni ama kutufungua pia. Chaguo ni lako kama ilivyo kwangu pia.Sijui wewe ni dini gani, lakini kama ni mkristo kasome Wafipi 4;9-11 na Matendo 4:10-12.
Kama siyo mkristo basi ni vigumu kuelewa.
Siyo utumwa wa fikra mimi kuamini ninachoamini kulingana na dini yangu.
Nashukuru umenielewa, lakini hakuna mahali nimeonesha kumlazimisha mtu. Ni kweli kila mtu na imani yake.Kwa kauli yako mwenyewe, usimlazimishe huyo jamaa kutumia jina lolote atakavyo maana hujui imani yake. Maandiko duniani yapo mengi sana na ndiyo yanayotumika kutuweka vifungoni ama kutufungua pia. Chaguo ni lako kama ilivyo kwangu pia.
Kama anavyo zipiga dokta bashiru ally, si mchezoMwenyekiti sio mchezo nasikia alikuwa anazipiga hadi mademu wanahisi harufu ya mishkaki
Mbona mmewe wale wale ti
Hivi jamaa nae ni mbaya kwa papuchiKama anavyo zipiga dokta bashiru ally, si mchezo
Hatari sana, amegawa mimba za kutosha kwa waheshimiwa mbalimbaliHivi jamaa nae ni mbaya kwa papuchi