Nampongeza Mange kwa kupiga hela za wasiojitambua ila anawapoteza CHADEMA

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.

CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?

CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
 
Mtaongea na kupiga propaganda zote mwaka huu. Wananchi tumeshasema. NO REFORM NO ELECTION
 
Mtajiongelesha sana mwaka huu, Ila ukweli upo wazi kwamba Lumumba watu wanapasuka vichwa, No Reform No Election.
 
Mtaharisha kwenye hizo pajama dadeki
Ni reforms no election
 
Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.

CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?

CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Umeandika upumbavu we mama
 
UNGEJIBU HOJA ZAKE
Hakuna wa kujibu HOJA hapo, mtu kwenye uwezo wa kujibu HOJA ni yule ambaye haongozwi na njaa/mchumia tumbo, ila kwa vile vijana wa CCM wengi wanatanguliza maslahi badala ya uzalendo, hawawezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiria.
 
Inakuuma nini ? AnAo uhuru wa kuchagua upande atakao,,,,, ! Leo angekuwa ccm mwenzio ungeongea huu uharo hapa ?

NRNE
 
Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.

CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?

CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
‘Jamii ya watu wastaarabu’ umelitumia pasipostahili, CCM si jamii ya watu wastaarabu. CCM na branches zake hasa ile ya wasiojulikana wanaf*ira watu wanaowateka na kuwarekodi huo ndiyo ustaarabu wenu? CCM kupitia chombo chake hicho cha wasiojulikana hubaka, hupora(kijambazi), hutesa, hubambikia watu kesi na huua. Kama kwenu CCM huo ndiyo ustaarabu mnaojivunia basi acha huyo Mange aendelee na namna zake za kupambana na kuhamasisha the way she knows best, she is by far more civilized zaidi ya CCM wote from the top to the bottom kwani ushetani wa CCM ni wa kiwango cha kutisha.
 
Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.

CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?

CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Mwache apige; mbona hilo jambazi lenu zee limeuzq Bandari zote za Tanganyika na Mbuga zote za Wanyama za Tanganyika kwa ndugu zake Waarabu na bado mnalamba tu mak***** yake???

NO REFORMS NO ELCTION✌🏾
 
Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.

CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?

CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Tumelala saa hizo kesho tena. Simgida no reform no election
 
Imeandikwa
adui wa adui yangu ni rafiki yangu
 
Back
Top Bottom