Nampongeza Mange kwa kupiga hela za wasiojitambua ila anawapoteza CHADEMA

Nampongeza Mange kwa kupiga hela za wasiojitambua ila anawapoteza CHADEMA

Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.

CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?

CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Huu mwaka elimu imewaingia wananchi ipasavyo, wameamua wanataka nchi yao kutoka kwenye kigenge cha watu wachache na machawa kama wewe. NRNE
 
Back
Top Bottom