MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mtaongea na kupiga propaganda zote mwaka huu. Wananchi tumeshasema. NO REFORM NO ELECTIONNi mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.
CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?
CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Umeandika upumbavu we mamaNi mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.
CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?
CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Hakuna wa kujibu HOJA hapo, mtu kwenye uwezo wa kujibu HOJA ni yule ambaye haongozwi na njaa/mchumia tumbo, ila kwa vile vijana wa CCM wengi wanatanguliza maslahi badala ya uzalendo, hawawezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiria.UNGEJIBU HOJA ZAKE
Chai,CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki.
‘Jamii ya watu wastaarabu’ umelitumia pasipostahili, CCM si jamii ya watu wastaarabu. CCM na branches zake hasa ile ya wasiojulikana wanaf*ira watu wanaowateka na kuwarekodi huo ndiyo ustaarabu wenu? CCM kupitia chombo chake hicho cha wasiojulikana hubaka, hupora(kijambazi), hutesa, hubambikia watu kesi na huua. Kama kwenu CCM huo ndiyo ustaarabu mnaojivunia basi acha huyo Mange aendelee na namna zake za kupambana na kuhamasisha the way she knows best, she is by far more civilized zaidi ya CCM wote from the top to the bottom kwani ushetani wa CCM ni wa kiwango cha kutisha.Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.
CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?
CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Ongezea nyama kwenye hili kwa kuweka source ili nitoe kauli yangu rasmi 😎Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini.
Mwache apige; mbona hilo jambazi lenu zee limeuzq Bandari zote za Tanganyika na Mbuga zote za Wanyama za Tanganyika kwa ndugu zake Waarabu na bado mnalamba tu mak***** yake???Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.
CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?
CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Tumelala saa hizo kesho tena. Simgida no reform no electionNi mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.
CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?
CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
ImeandikwaNi mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia CCM ila wajumbe wakampiga chini. Mange hutaka pesa tu.
CHADEMA kwanini mmeamua kujitoa akili na kuongozwa na Mange ambaye hufanya biashara haramu ya kuingilia maisha ya watu na kuwaharibia? Idadi ya watu wasio na hatia walioumizwa na Mange ni kubwa mno. Huyu mtu hafai kabisa kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Mnadhani CCM inaweza kukaa chini na kujadiliana na kiongozi wenu Mange?
CHADEMA mjitafakari vinginevyo Mange atawapoteza. Mbaya zaidi huwa hanaga rafiki. Mkimzingua atawageuka na kuwashambulia kuanzia Lissu hadi Heche.
Tena bado wamelala hoiMwache apige; mbona hilo jambazi lenu zee limeuzq Bandari zote za Tanganyika na Mbuga zote za Wanyama za Tanganyika kwa ndugu zake Waarabu na bado mnalamba tu mak***** yake???
NO REFORMS NO ELCTION✌🏾