Nampongeza Nabii Geordavie kwa kazi yake iliyotukuka

Nampongeza Nabii Geordavie kwa kazi yake iliyotukuka

Wakati pale kuna mmja anaitwa mussa embe alikuwaga mwenyekiti wa serikali ya mtaa kinondoni
Hana cha usheh wala nini
Wasaka Tonge tu,nchi hii ina wajng wengi sana

Ova
Ni uhuru hawajavunja taratibu za nchi
 
Wakati pale kuna mmja anaitwa mussa embe alikuwaga mwenyekiti wa serikali ya mtaa kinondoni
Hana cha usheh wala nini
Wasaka Tonge tu,nchi hii ina wajng wengi sana

Ova
Nilipenda kutajiwa tu
Yupi ni Sheikh kwa hapa Bongo?!
 
Unasifia Ujinga.Kwanza wale siyo Masheikh na mbaya zaidi si Waislam,wamenunuliwa kanzu na kofia kuhadaa umma,kwamba ni waislamu,hakuna muislam wa kweli kuja kudhihaki Dini yake kuja kumsifia kafiri anayekula wake za watu.
Wamelamba asali..hata wewe una price tag yako ikifikiwa tu..unaweza kana hiyo imani yako ya mungu wa kiarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Kipekee kabisa Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.

Una moyo wa kipekee sana, sina shaka ndiomana una marafiki wa dini zote hapa nchini na ulimwenguni, nafuatilia matukio yako na kazi zako zote za utumishi na wema wako kwa watu mbalimbali.

Nimewiwa kukupa pongezi za dhati kwa tunu ya pekee ya kukubalika na mashekhe toka DSM waliokuja Arusha kukupa nguvu na kukutia moyo.

Usiogope tupo pamoja nawe katika hali zote. Kipekee pia nikupongeze kwa kuwa mwenye utii wa mamlaka za nchi na serikali tukufu. Panapo Majaliwa inshallah nitakuja Arusha kutoa ushuhuda wa namna unavyotuweka karibu na Mungu na matokeo chanya mimi nikiwa mfano wa kuigwa.

Ndimi kondoo wako mdau wa jamii forums.

wadiz
Email: shazwadiz@gmail.cot
Tafadhali mtambulishe vizuri. Anaitwa Baba, Mheshimiwa, Nabii Mkuu, Dr. Joe Davie
 
Mkuu siku hizi chawa na wajinga ndio wana maisha sana...wanasukuma ndinga kali kuliko wewe mwerevu[emoji28][emoji28][emoji28]
Wale masheh wa mchongo walienda kumpiga mpigaji [emoji1]
Hapo wapigaji kwa wapigaji walikutana

Ova
 
Unasifia Ujinga.Kwanza wale siyo Masheikh na mbaya zaidi si Waislam,wamenunuliwa kanzu na kofia kuhadaa umma,kwamba ni waislamu,hakuna muislam wa kweli kuja kudhihaki Dini yake kuja kumsifia kafiri anayekula wake za watu.
Period
 
Back
Top Bottom