Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
- Thread starter
-
- #21
Ni uhuru hawajavunja taratibu za nchiWakati pale kuna mmja anaitwa mussa embe alikuwaga mwenyekiti wa serikali ya mtaa kinondoni
Hana cha usheh wala nini
Wasaka Tonge tu,nchi hii ina wajng wengi sana
Ova
Nilipenda kutajiwa tuWakati pale kuna mmja anaitwa mussa embe alikuwaga mwenyekiti wa serikali ya mtaa kinondoni
Hana cha usheh wala nini
Wasaka Tonge tu,nchi hii ina wajng wengi sana
Ova
Hakuna sheh hata mmja paleNilipenda kutajiwa tu
Yupi ni Sheikh kwa hapa Bongo?!
Wahuni tu wale hakuna sheh paleNi uhuru hawajavunja taratibu za nchi
Ni haki yao Mkuu ya ibada Mungu hana wigo mfinyu.Wahuni tu wale hakuna sheh pale
Ova
We dini ganMheshimiwa sana Aliepeke yake Nabii mkuu Geordavie
Mi mtu wa Mungu wa sisi sote mwenye mitume wengiWe dini gan
Wamelamba asali..hata wewe una price tag yako ikifikiwa tu..unaweza kana hiyo imani yako ya mungu wa kiarabu.Unasifia Ujinga.Kwanza wale siyo Masheikh na mbaya zaidi si Waislam,wamenunuliwa kanzu na kofia kuhadaa umma,kwamba ni waislamu,hakuna muislam wa kweli kuja kudhihaki Dini yake kuja kumsifia kafiri anayekula wake za watu.
Mkuu siku hizi chawa na wajinga ndio wana maisha sana...wanasukuma ndinga kali kuliko wewe mwerevu😅😅😅Wajinga ni wengi
Ova
Bwana ehhhMkuu siku hizi chawa na wajinga ndio wana maisha sana...wanasukuma ndinga kali kuliko wewe mwerevu[emoji28][emoji28][emoji28]
Tafadhali mtambulishe vizuri. Anaitwa Baba, Mheshimiwa, Nabii Mkuu, Dr. Joe DavieMnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Kipekee kabisa Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Una moyo wa kipekee sana, sina shaka ndiomana una marafiki wa dini zote hapa nchini na ulimwenguni, nafuatilia matukio yako na kazi zako zote za utumishi na wema wako kwa watu mbalimbali.
Nimewiwa kukupa pongezi za dhati kwa tunu ya pekee ya kukubalika na mashekhe toka DSM waliokuja Arusha kukupa nguvu na kukutia moyo.
Usiogope tupo pamoja nawe katika hali zote. Kipekee pia nikupongeze kwa kuwa mwenye utii wa mamlaka za nchi na serikali tukufu. Panapo Majaliwa inshallah nitakuja Arusha kutoa ushuhuda wa namna unavyotuweka karibu na Mungu na matokeo chanya mimi nikiwa mfano wa kuigwa.
Ndimi kondoo wako mdau wa jamii forums.
wadiz
Email: shazwadiz@gmail.cot
Wale masheh wa mchongo walienda kumpiga mpigaji [emoji1]Mkuu siku hizi chawa na wajinga ndio wana maisha sana...wanasukuma ndinga kali kuliko wewe mwerevu[emoji28][emoji28][emoji28]
PeriodUnasifia Ujinga.Kwanza wale siyo Masheikh na mbaya zaidi si Waislam,wamenunuliwa kanzu na kofia kuhadaa umma,kwamba ni waislamu,hakuna muislam wa kweli kuja kudhihaki Dini yake kuja kumsifia kafiri anayekula wake za watu.