Nampongeza Nay wa mitego kwa kuwapatia CHADEMA agenda

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,729
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali wengine wengi.

Leo nachukua nafasi hii kumpongeza Nay The Trueboy kwa kuachia ngoma yenye utata ambayo imesababisha BASATA wamhoji.

Binafsi naona ni hali ya kawaida tu kwa mwanamuzikiwa hiphop kupata mikwaruzo ya hapa na pale. Ila nampongeza zaidi kwa kuwasaidia CHADEMA kupata agenda ya kusogeza siku baada ya ile ya bandari kubuma.
 
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi...
Mtu kama weww unakuta Wazazi wako wanaishi kwa shida sana huko Bushi, weww uko town kulama Wanaume makalio, Walio pewa mgao wala hawako hata jf, wako wanakula migao yao ya pesa za Bandari, wewe hapo endelea kushabikia basi, wenzako wanao shabikia huko nje account zimeisha soma.
 
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu...
Punguza utoto dogo.
 
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu..
Aahaaaaa, imebidi nicheke aiseee
 
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali wengine wengi.

Leo nachukua nafasi hii kumpongeza Nay The Trueboy kwa kuachia ngoma yenye utata ambayo imesababisha BASATA wamhoji. Binafsi naona ni hali ya kawaida tu kwa mwanamuzikiwa hiphop kupata mikwaruzo ya hapa na pale. Ila nampongeza zaidi kwa kuwasaidia CHADEMA kupata agenda ya kusogeza siku baada ya ile ya bandari kubuma.
Ulemavu wa akili ni janga kwa members wengi humu!! Imagine mzeiya calibre ya mleta mada!!!
 
Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali wengine wengi.

Leo nachukua nafasi hii kumpongeza Nay The Trueboy kwa kuachia ngoma yenye utata ambayo imesababisha BASATA wamhoji. Binafsi naona ni hali ya kawaida tu kwa mwanamuzikiwa hiphop kupata mikwaruzo ya hapa na pale. Ila nampongeza zaidi kwa kuwasaidia CHADEMA kupata agenda ya kusogeza siku baada ya ile ya bandari kubuma.
Hiyo Ngoma ina utata gani mkuu., maana aliyonena mwanafasihi ukiyacheki kwa kina ni kweli.
 
Ungekua shabiki lialia wa Hip Hop basi ungekua na akili.
 
Lumumba buku 7 mnatapatapa sana
 
Back
Top Bottom