Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu.

Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa biG apu mama kwa kuonyesha kuwa anauwelewa mkubwa kwani kama ujui ulikotoka uwezi kujua unakokwenda.

Kuwakubali machifu ni kuenzi mila na tamaduni zetu za kiafrika hivyo mama amefanya jambo kubwa na la kihistoria, Machif walisimamia mambo yote kabla ya kuja wageni kutoka Ulapa na Arabia yakiwemo ya kijamii kama mdoa, vyakula, ibada, maombi, heshima, uzalendo, dawa na mengine mengi.

Na sayantifiki profu kuwa babu zetu walikuwa na Mungu nyuma 1900 kurudi nyuma babu zetu waliishi miaka ya kawaida 150 kuendelea.
 
Duuh, yaani Kuna watu bila kumsifu Rais kwa saa hata moja wanaumwa!

Watatafuta sababu hata isiyo na mashiko ili wasifu.

Hao machifu ndio waliosimamia desturi zisizo na ustaarabu Kama ukeketaji, ubaguzi wa kijinsia, ndoa za utotoni, urithi wa wajane, mauaji ya watoto wachanga maalbino n.k.

Kesho wakimfuata Rais kumuomba azitambue Mila zao atawaambia Nini?

Kama hatazikubali Mila na desturi zao zilizotukuka, hao machifu watasimamia Nini?

Kama hawana Cha kusimamia, huo uchifu ni wa Nini?
 
Chifu, Royals n.k.

Fikra za kwamba umezaliwa katika Ukoo fulani basi una haki ya kuongoza na kupata preferential treatment kuliko wengine ni mwanzo wa matabaka na kutokuwa na usawa.

Uchifu ubaki tu kama ceremonial kitu ambacho hakina meno ili kuweka a level playing field hata kwa wale waliozaliwa kwenye so called ukoo wa watumwa n.k.
 
Mwl. Nyerere enzi za uhai wake ulituasa kuwa umuhimu wa mambo ya ukabila ikijumuisha na hayo ya uchifu yamebakia katika masuala ya kutambika tu. Sijui sasa hata huo uchifu Madam President atautumia sehemu gani!
 
Duuh, yaani Kuna watu bila kumsifu Rais kwa saa hata moja wanaumwa...
HAPANA kijana kuna mekanizim kubwa kama propaganda wakati ujio wa dini na tamaduni za kigeni hivyo tukaambiwa kuwa sisi kilakitu chetu ni kibaya. Hayo yote unayoyasema hayana ukweli, ila yalisemwa na wagaeni.
 
Well haya mambo ya Uchifu hayakutungwa Tanzania wala hayakuwepo Tanzania pekee

Ni hulka ya binadamu ili wachache wajipatie fursa na mara nyingine kuwanyonya wengine hujijengea matabaka au matabaka hutokea automatically..

Kwahio haya mambo ya ufalme, uchifu, castes, nobles n.k. na kwa sasa waheshimiwa, watukufu n.k. ndio muendelezo ule ule tu..., wa wengine kujiona wapo juu ya wengine.... ila angalau sasa unaweza ukajipa matumaini kwamba kesho na wewe utakuwa muheshimiwa ingawa enzi hizo kuzaliwa kwako tu kwenye familia tofauti basi sahau ndoto za kuwa chifu....
 
Chifu, Royals n.k.

Fikra za kwamba umezaliwa katika Ukoo fulani basi una haki ya kuongoza na kupata preferential treatment kuliko wengine ni mwanzo wa matabaka na kutokuwa na usawa.

Uchifu ubaki tu kama ceremonial kitu ambacho hakina meno ili kuweka a level playing field hata kwa wale waliozaliwa kwenye so called ukoo wa watumwa n.k.
Wewe na watoto wa Rais mpo sawa?
 
Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu.

Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa biG apu mama kwa kuonyesha kuwa anauwelewa mkubwa kwani kama ujui ulikotoka uwezi kujua unakokwenda.

Kuwakubali machifu ni kuenzi mila na tamaduni zetu za kiafrika hivyo mama amefanya jambo kubwa na la kihistoria, Machif walisimamia mambo yote kabla ya kuja wageni kutoka Ulapa na Arabia yakiwemo ya kijamii kama mdoa, vyakula, ibada, maombi, heshima, uzalendo, dawa na mengine mengi.

Na sayantifiki profu kuwa babu zetu walikuwa na Mungu nyuma 1900 kurudi nyuma babu zetu waliishi miaka ya kawaida 150 kuendelea.
Ati Chifu wa Tanzania nzima! stupid

Yaani Mmasai, Mkurya, Mhaya, Mgogo, Mnyakyusa, nk aongozwe na mtu (chief) ambaye si wakabila lake!?! what a joke

Kila kabila chief ni wa kabila husika

Huyo bibi atakuwa chief wa kule kwao makunduchi (Zanzibar)
 
Hatujawahi kuwa na chifu wa kike, mimi ni msukuma mwenye asili ya ujita ila sijawahi kuona mwanamke akawa kiongozi.
CCM na wachumia tumbo wa serikalini wameamua kuwadhalilisha - kuwapa chief mwanamke na ambaye si wajamii yenu 'kabila lenu'

Kupewa kiongozi wa kimila ambaye si wa jamii yako ni kama kuwa utumwani
 
Back
Top Bottom