Rihanna amekuwa akifanya hichi kitu kwa muda mrefu sana sasa nchini Malawi..Just a publicity stunt,nothing much to red here.
Mada haijasema kwamba katumia pesa kusaidia watu, anaonekana amebeba ndoo kichwani, anasukuma toroli.Katumia sehemu ya fedha zake kusaidia jamii zenye shida, huo sio msaada?
And she is not doing that for the fame..
Unachotakiwa kujua ni kwamba, wenzetu hawana maisha ya kuigiza kama ya kwetuMada haijasema kwamba katumia pesa kusaidia watu, anaonekana amebeba ndoo kichwani, anasukuma toroli.
Usichukulie poa wenzio watakua washapiga hesabu kali pale
Kasome maana ya povertyporn kama mdau alivyoshauri hapo juuUnachotakiwa kujua ni kwamba, wenzetu hawana maisha ya kuigiza kama ya kwetu
MwelezeKatumia sehemu ya fedha zake kusaidia jamii zenye shida, huo sio msaada?
And she is not doing that for the fame..
Ni rihanaKafanania na rihanna
Nimesikitika sana Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameshindwa kumkaribisha Rihanna japo hapo Kyela mpaka mwa Malawi. Teh teh tehkuna nini MALAWI, maana wasanii wa kike wa Marekani wapenda sana kutembelea huko na hawachelewi ku-ADOPT watoto wa Malawi
[emoji144]Ni rihana
[emoji2] [emoji2] kwenye kula ugali kinafiki hapo kaziaImesaidia nini hiyo?
Imemsaidia yeye mwenyewe kwa kumuongezea umaarufu.
Ni sawa na wale wenye chama chao wanapoamua kula ugali maharage na wapiga kura ili kuwahadaa waone wao ni wamoja.
Case hii na ya Rihana tofauti kwamba Rihana sio mwanasiasa
mbona hata mawaziri wetu, viongozi wa ccm huwa wanafanya maigizo ya kubeba ndoo kichwani, kubeba tofali, kushika mwiko wa ujenzi, kubeba watu na kupiga picha kisha kuzituma mitandaoni?Picha zote tatu3 ni Rihanna akiwa nchini malawi mwezi uliopita,
Hakujali umarufu wake wala uzuri alio nao, alichofanya ni kuyakabiri majukumu ya muda huo kulingana na mazingira,
Alibeba ndoo kichwani, akasukuma toroli,
Hii ni katika kusaidia kujenga kituo cha afya nchini malawi
Ni mfano wa kuigwa kwa wadada wa siku hizi
View attachment 877164View attachment 877165View attachment 877166
Sana tena sana tu.Editing zinawabeba sana
niko nako hotelin hapa, nakaonyesha utumbo wako ulioandikaIla haka kadada kazuri sana kasipopaka matakataka yale!!
Kumbe kujiremba sana ni kujiharibu tu.
wivuSana tena sana tu.