Nampongeza Rihanna, umaarufu kauacha Marekani kaja Afrika kusaidia

Nampongeza Rihanna, umaarufu kauacha Marekani kaja Afrika kusaidia

Just a publicity stunt,nothing much to red here.
Rihanna amekuwa akifanya hichi kitu kwa muda mrefu sana sasa nchini Malawi..

Publicity stunt akaitafutie Malawi.. yaani aruke kutoka LA mpaka Malawi kutafuta umaarufu.. Grow up people!

Wenzetu wamelelewa wakijua kusaidia wengine ni kufungua milango yako ya baraka..
 
Katumia sehemu ya fedha zake kusaidia jamii zenye shida, huo sio msaada?

And she is not doing that for the fame..
Mada haijasema kwamba katumia pesa kusaidia watu, anaonekana amebeba ndoo kichwani, anasukuma toroli.

Usichukulie poa wenzio watakua washapiga hesabu kali pale
 
kuna nini MALAWI, maana wasanii wa kike wa Marekani wapenda sana kutembelea huko na hawachelewi ku-ADOPT watoto wa Malawi
 
kuna nini MALAWI, maana wasanii wa kike wa Marekani wapenda sana kutembelea huko na hawachelewi ku-ADOPT watoto wa Malawi
Nimesikitika sana Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameshindwa kumkaribisha Rihanna japo hapo Kyela mpaka mwa Malawi. Teh teh teh
 
Unaweza kukuta ana andaa video nyie mnaseama kajitoa...!
 
Imesaidia nini hiyo?
Imemsaidia yeye mwenyewe kwa kumuongezea umaarufu.

Ni sawa na wale wenye chama chao wanapoamua kula ugali maharage na wapiga kura ili kuwahadaa waone wao ni wamoja.
Case hii na ya Rihana tofauti kwamba Rihana sio mwanasiasa
[emoji2] [emoji2] kwenye kula ugali kinafiki hapo kazia
 
Picha zote tatu3 ni Rihanna akiwa nchini malawi mwezi uliopita,
Hakujali umarufu wake wala uzuri alio nao, alichofanya ni kuyakabiri majukumu ya muda huo kulingana na mazingira,
Alibeba ndoo kichwani, akasukuma toroli,
Hii ni katika kusaidia kujenga kituo cha afya nchini malawi

Ni mfano wa kuigwa kwa wadada wa siku hizi

View attachment 877164View attachment 877165View attachment 877166
mbona hata mawaziri wetu, viongozi wa ccm huwa wanafanya maigizo ya kubeba ndoo kichwani, kubeba tofali, kushika mwiko wa ujenzi, kubeba watu na kupiga picha kisha kuzituma mitandaoni?
 
Back
Top Bottom