Nampongeza sana UMMY MWALIMU kwa ukimya wake mpaka kuja kuteuliwa tena

Nampongeza sana UMMY MWALIMU kwa ukimya wake mpaka kuja kuteuliwa tena

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Mimi sio Ccm

Niwasalimie kwanza; chei chei

Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa

Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua

Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu mkubwa

Kana kwamba mpaka mwenye mamlaka akamtegua tena na cheo kwenye secta ya Afya kama mshahuri wa rais

Binafsi nampongeza ila ukweli MIMI SIO CCM WALA SINA UHUSIANO NAO HAO CCM
 
Screenshot_20250720-193211~2.jpg
 
Mimi sio Ccm

Niwasalimie kwanza; chei chei

Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa

Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua

Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu mkubwa

Kana kwamba mpaka mwenye mamlaka akamtegua tena na cheo kwenye secta ya Afya kama mshahuri wa rais

Binafs nampongeza ila ukweli MIMI SIO CCM WALA SINA UHUSIANO NAO HAO CCM
Sawa, mambo ya uzazi!
 
Hivi mlishajiuliza unakuta mtumishi wa umma analipwa mshahara mkubwa lakini anaachia nafasi hiyo na anaenda kutumia mamilioni ya pesa ili tu awe mbunge ndani ya miaka mitano na haba uhakika wa kurudi? Mfano Kadogosa wa TRC aliacha kule pesa nyingi na kwenda huko bungeni!

Ni kwa sababu, kazi ya ubunge ina uhuru mkubwa kuliko kazi za kuteuliwa unakuwa unaamrishwa amrishwa na boss wako! Hivyo, usidhani UMMY kafurahia sana hiyo ajira mpya kama angekuwa mbunge!
 
Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
 
Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje

Kuwa mshauri na kuwa waziri wa AFYA ipi ni sahihi?.
 
Ni matumizi mabaya ya pesa za umma.yaani unateua kuwa mshauri wa mambo ya afya wakati huo kuna waziro wa afya.tuna dereva mlemavu wa akili sana
 
Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
Mbona alikuwa waziri wa afya haikudhuru? Hii nchi hakuna lisilowezekana
 
Kwaivo huyo mama ana kifua cha kuhold things kuliko mwanaume yule nani sjui kigwa's ashalia na kulalamika sana mitandaoni wakati huo ni Dr kabisa
 
Nikweli kabisa, siasa za huko malawi zinahitaji uwe mnafiq mtiifu ndipo utaikula mema ya nchi...🙄
 
Hiyo inatusaidiaje sisi raia??
 
Mbona alikuwa waziri wa afya haikudhuru? Hii nchi hakuna lisilowezekana
Alifanya chini ya mwamvuli wa wataalamu, akina prof makubi.
Sasa leo anaingia yeye kama yeye in isolation.
Halafuu hata hiyo wizara ya Afya alidumu nayo mwaka 1 tu..
Akatolewa, Dkt Dorothy Gwajima akateuliwa kama replacement yake.

Na kuhusu corona, ile ilikuwa ni misimamo ya lizee..huyu Ummy alikuwa anaagizwa tu...uzuri hakuwa mbishi.
Ndugulile alileta ujuaji, Zee likamtumbua.
 
Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
"When plunder becomes a way of life for a group of people in a society, over the course of time they create for themselves a legal system that authorizes it and a moral code that justifies it." Frederic Bastiat

Samia habebeki, ni vigumu kumtetea
 
Umeongea vema kuhusu subra ya Odo Ummy, ila umejitetea sana kuhusu CCM, kwani ukiwa mwana CCM shida nini?
Hakuna shida ila mimi sio ccm wala chadema, hata nikimpongeza TAL nitasema kuwa mm sio chadema..
 
Ww ni mtu n shoga yake?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom