Maendeleo hayana Chama, wewe ni mfano wa kuigwa mkuu.Mimi sio Ccm
Niwasalimie kwanza; chei chei
Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa
Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua
Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu mkubwa
Kana kwamba mpaka mwenye mamlaka akamtegua tena na cheo kwenye secta ya Afya kama mshahuri wa rais
Binafsi nampongeza ila ukweli MIMI SIO CCM WALA SINA UHUSIANO NAO HAO CCM
Hivyo vitu vinaingia akili au vinaingizwa akilini watu ukaa darasani na kuanza kujifunza, sio kitu kibaya labda alikuwa anajifunza vyote ivyo akiwa shuleni/chuoni unajua nini? Kuhusu hiloMeritocracy haiko observed kabisa nchi mwetu mtu mbobevu wa maswala ya sheria aende kuwa mshauri wa maswala ya afya na uzazi? At least tunajua waziri hata usipokuwa na ile proffesion makatibu wa wizara huwa ndio washauri wakuu wa waziri na ndiyo main actor, waziri ni just political figures, haya ni matumizi mabovu ya kodi zetu na yasiyo na tija kwa taifa
Alishakuwa waziri wizara ya afya.Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje