Sawa, mambo ya uzazi!Mimi sio Ccm
Niwasalimie kwanza; chei chei
Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa
Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua
Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu mkubwa
Kana kwamba mpaka mwenye mamlaka akamtegua tena na cheo kwenye secta ya Afya kama mshahuri wa rais
Binafs nampongeza ila ukweli MIMI SIO CCM WALA SINA UHUSIANO NAO HAO CCM
Hivi mlishajiuliza unakuta mtumishi wa umma analipwa mshahara mkubwa lakini anaachia nafasi hiyo na anaenda kutumia mamilioni ya pesa ili tu awe mbunge ndani ya miaka mitano na haba uhakika wa kurudi? Mfano Kadogosa wa TRC aliacha kule pesa nyingi na kwenda huko bungeni!
Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
Mbona alikuwa waziri wa afya haikudhuru? Hii nchi hakuna lisilowezekanaUmmy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
Alifanya chini ya mwamvuli wa wataalamu, akina prof makubi.Mbona alikuwa waziri wa afya haikudhuru? Hii nchi hakuna lisilowezekana
"When plunder becomes a way of life for a group of people in a society, over the course of time they create for themselves a legal system that authorizes it and a moral code that justifies it." Frederic BastiatUmmy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
Umeongea vema kuhusu subra ya Odo Ummy, ila umejitetea sana kuhusu CCM, kwani ukiwa mwana CCM shida nini?Binafsi nampongeza ila ukweli MIMI SIO CCM WALA SINA UHUSIANO NAO HAO CCM