Nampongeza sana UMMY MWALIMU kwa ukimya wake mpaka kuja kuteuliwa tena

Maendeleo hayana Chama, wewe ni mfano wa kuigwa mkuu.
 
Meritocracy haiko observed kabisa nchi mwetu mtu mbobevu wa maswala ya sheria aende kuwa mshauri wa maswala ya afya na uzazi? At least tunajua waziri hata usipokuwa na ile proffesion makatibu wa wizara huwa ndio washauri wakuu wa waziri na ndiyo main actor, waziri ni just political figures, haya ni matumizi mabovu ya kodi zetu na yasiyo na tija kwa taifa
 
Hivyo vitu vinaingia akili au vinaingizwa akilini watu ukaa darasani na kuanza kujifunza, sio kitu kibaya labda alikuwa anajifunza vyote ivyo akiwa shuleni/chuoni unajua nini? Kuhusu hilo
 
Ummy kitaaluma ni mwanasheria, wala hajawahi kuwa daktari....
Sasa huyu anaendaje kuwa mshauri wa Rais kuhusu health concerns wakati wenye fani yao wapo?
Does it make common sense?
Hivi hii nchi ikoje
Alishakuwa waziri wizara ya afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…