The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Asalam alleikhum waungwana !
Jamani naileta kwenu hii ,Jamaa mmoja mtumishi wa umma hapa Kigoma ameishi na mkewe kwa mapenzi mazito kwa muda wa miaka 20 wamebahatika kupata 4 children sasa ishu imekuja kulipuka hivi karibuni ,mama alipandwa na malaria ya kichwa akawa anasema watoto wote si wa jamaa ni wa true love wake wa o level yuko morogoro pia ana akaunti ya siri benki moja (jina kapuni) alipopona mkewe jamaa fasta kaenda benki kakuta ni kweli ana abt 25 mil ,na kuhusu morogoro huyu mama hujifanya ana mambo ya kuuza vinyago na ana safari nyingi moro,jamaa kaenda kupima ni kweli watoto wote si wake.sasa mimi THE ONLY nakubali MOYO WA MTU MSITU huwezi kuujua ni kumwomba mungu tu,Jamaa amekuwa mlevi sugu japo nduguze wana jitahidi kumfariji ,mwanamke kakimbia,kamwalibia maisha kaka wa watu kuanzisha familia mpya mchezo at age of 40's.
Jamani sasa sjui tunafanyeje kuepuka haya.