Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
..soka la bongo ni magumashi tu..Yanga na Simba ni timu za kichawi ndo maana.
zinapingaje uwekezaji kama huu wa Mo kwa mfano?
au yule witch doctor Akilimali ameisaidia nini timu yake baada ya Manji kujiondoa?