Namshangaa Mo Dewji

Namshangaa Mo Dewji

Yanga na Simba ni timu za kichawi ndo maana.

zinapingaje uwekezaji kama huu wa Mo kwa mfano?

au yule witch doctor Akilimali ameisaidia nini timu yake baada ya Manji kujiondoa?
..soka la bongo ni magumashi tu..
 
Tulishawaambia na tunarudia tena. Yanga timu ya wananchi na wanaiendesha wenyewe.
Tumechekwa sana eti tunatembeza bakuli wakati ni sisi wanachama na mashabiki tunaendesha club yetu.

Ushauri kwa watani zetu, mpeni Mo timu. Mpeni hizo hati.
 
Mo kama anapesa si aanzishe timu yake? Biashara ya kununua timu ilishaonesha kumshinda!
 
Mimi natamani sana kuona siku moja simba na Yanga zikifa, yaaan atokee mtu mwenye fedha zake harafu awekeze kisawasawa na ahakikishe kombe hachukui Yanga wala Simba Kwa miaka 5,basi sisi wa shabiki wenyewe tungeziacha na kujifia kabosa
 
Back
Top Bottom