Tulishawaambia na tunarudia tena. Yanga timu ya wananchi na wanaiendesha wenyewe.
Tumechekwa sana eti tunatembeza bakuli wakati ni sisi wanachama na mashabiki tunaendesha club yetu.
Ushauri kwa watani zetu, mpeni Mo timu. Mpeni hizo hati.
Mimi natamani sana kuona siku moja simba na Yanga zikifa, yaaan atokee mtu mwenye fedha zake harafu awekeze kisawasawa na ahakikishe kombe hachukui Yanga wala Simba Kwa miaka 5,basi sisi wa shabiki wenyewe tungeziacha na kujifia kabosa