Namshangaa sana The Bond na Mshana Jr

Haaaa hujipendi !wewe unaleta mafumbo? Mwenzio tzgiza hajulikani alipo.
 
Sheria ya mtandao imepita kushoto hapo
 
nadhani huyu kiumbe nayejiita Mshana Jr ni pepo mchafu katika mwili wa binadamu...
 
Mkuu hongera sana.[emoji28]naona unaogopa kubebwa kwenye noha nyeusi.
Fasihi hata umchane mtu kata funua huwezi shtakiwa.[emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
nadhani huyu kiumbe nayejiita Mshana Jr ni pepo mchafu katika mwili wa binadamu...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji778] [emoji779] [emoji780] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Aaaaahh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…