Namshangaa sana The Bond na Mshana Jr

Aroooooo!! Arafu kuwa na heshima jina rangu ni The Bold sio The Bond...

Na nyinyi member wenye vihere here vya kuongea ongea... aroooo ni kweri mna uhuru wa kuongea but not to that extent... watch it...

Arafu members hamfanyi kazi mnakaa tu mna raramika ramika!! Nawaambieni unga utafika kilo shilingi elfu tano... Mnasubiri tu mpate habari mbaya mniweke foti fedi..

Mnasahau jambo ra muhimu ni kuhakikisha kwamba kira mwanaforum anapata bombadia yake!! Na katika hilo nawaahidi sitawaangusha... tunataka muendeshe bombadia huko angani ili zituletee revenyuu..

Mimi napenda kuwaambia ukweri, na msema kweri ni mpenzi wa mungu... Watu wanapost post tu kwenye mitandao... Usijali wanapost nini mshana jr wee piga kaziiiiiii... Nasema piga kaziiiii!! Unachonipa nakijua mwenyewe...
 
Hela za school fees baba anajenga madaraja hadi sebuleni aahhha hhaaha haa
 
ahhaa haa
 
Na sukari baba itafika sh Ngapi tujiandae kupunguza matumizi yasiyo ya lazima majumbani mwetu
 
Hela za school fees baba anajenga madaraja hadi sebuleni aahhha hhaaha haa
Na rambirambi pia,acha tu mwanangu. Sijui ni nani atakayetusaidia kwa huyu baba yako asiyeambilika!
 
Hahahaaaaaaa uwiiiiiiiiii haki baba MSAGA SUMU leo kwa mara ya kwanza tokea tumeanza kuishi pamoja umenichekesha sana!
 
Hela za school fees baba anajenga madaraja hadi sebuleni aahhha hhaaha haa
Ina maana juhudi zangu hamzioni??

Nimejenga barabara ya kiwango cha lami kilomita 120 pointi 77 kutoka MMU kwenda chit chat..

Bado nikaongeza kilomita 302 point 00 kutoka Chit Cht kwenda Intelligence..

Na bado tuna mpango wa kujenga reli standard gauge kutoka Jukwaa la siasa kwenda Jukwaa la Matangazo...

Wanaforum niwafanyie nini??
 
Jf wakati mwngine yahitaji kuwa mvumilivu au mwenye moyo wa chuma
 
Hahahaaaaaaa khaaaaaaa dah nimecheka sana.
 
Na sukari baba itafika sh Ngapi tujiandae kupunguza matumizi yasiyo ya lazima majumbani mwetu
Sukari ni anasa!! Mnataka sukari ya nini wakati sisi tumekua kwa kunywa uji wa chumvi...

Hakuna kunywa chai.!! Pigeni kaziiiiii... Hakuna kunywa juisi, pigeni kaziiiiii.!!
 
Sukari ni anasa!! Mnataka sukari ya nini wakati sisi tumekua kwa kunywa uji wa chumvi...

Hakuna kunywa chai.!! Pigeni kaziiiiii... Hakuna kunywa juisi, pigeni kaziiiiii.!!
Lakini maendeleo yote unayafanya kwenye Jukwaa ulilompa Mshana alisimamie
Mfano,.njia za juu,tren ya Umeme lakini kwenye majukwa mengine umetususa kabisa mkuu The bold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…