Namshangaa sana The Bond na Mshana Jr

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Word.!!

Big up mkuu Zero IQ

Umetumia njia maridhawa kabisa kufikisha ujumbe wako!!
Asante Mkuu Nilisoma sana Fasihi Enzi hizo nilikuwa najikumbushia kama kwenye iq zangu imebaki ata 1 ya ziada au ndio zimepelea kabisa na kubaki Zero IQ.

Nilichogundua nimebaki japo na Nusu IQ ya kunisaidia kufikisha ujumbe wangu kwako mkuu the Bold.
 
Jokes aside mtoa mada una IQ kubwa sana,tofauti na ID yako.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ina maana hata moderators hawakuona kuwa hii ni fasihi? Wameiweka hii mada kwenye jukwaa ambalo si sahihi
 
Mkuu umenifanya nicheke sana, heshima kwako
 
Aiseee hii fasihi sio ya inji hii[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Dah kwa kweli tuungane 2020 tuwaondoe humu hawa watu hawafaii katika website yetu.

Shime tuungane kuwaondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…