Namshangaa sana The Bond na Mshana Jr

Yule mtoto nampenda sana,kama ni mwanao kweli hongera mkuu.
Nikimuona hata kama nina hasira nitatabasamu. Ndio maana huwa nakupa likes kibao hahahaaaaaaa
Asante sana mkuuu

Nitakarudisha uendelee kuongeza siku za kuishi
 
Mtu mzma nmekuelewa sana
Agiza nakuja

Hamna namna tutawapa za USO hata kwa kutumia majina ya wengine ....
#fasihi#
 
dah yani umezunguka mbuyu sana.
we ungefunguka tu ili yaishe.
 
Eti Mshana jr nasikia mkuu The bold anakuandaa ugombee lile jimbo la cerebrity forum?kuna ukweli hapa?
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimesikia Jana the bold kapata bilioni 700 za kununulia baiskeri mbadala wa takribani tilioni 40 za Noah na bado ata wewe mshana jr unaendesha Benz binafsi yenye Nembo ya Rc .

Kweli mmetuweza mwaka huu.
 
Nimesikia Jana the bold kapata bilioni 700 za kununulia baiskeri mbadala wa takribani tilioni 40 za Noah na bado ata wewe mshana jr unaendesha Benz binafsi yenye Nembo ya Rc .

Kweli mmetuweza mwaka huu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…