Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

Mama Yako katumia ma trioni kwenye royo tua kuitangaza nchi yenu na imedoda ajabu ameshindwa kuwekeza kwenye vitu vya msingi kama hivi kuitangaza nchi
Hapa unamuonea mama yetu .. royal tour imeleta mabadiliko kwenye sector ya utalii..
 
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,

Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta hii michuano....imedoda kabisa na Motsepe hapendi vitu visivyo na shamrashamra ..hii michuano ingefutwa tu kwa ushari wangu, futilia mbali pia CECAFA, Ibaki tu AFCON.

Nchi hii tajiri hivyo tumeshindwa kupiga marketing Moja ya hatari, kama tuna uwezo wakua na matumizi yasiyo na tija kwa mujibu wa CAG zaidi ya Bilioni 600, tunashindwa nini michuano midogo hii kupiga marketing Moja matata kabisa ..dah. aibu.
Kosa kubwa ni serikali kupoka maandalizi yenyewe ilipaswa kubaki kwenye viwanja tu hayo ya marketing ni wadau na TFF.Mambo yote yamejaa picha ya Rais badala ya CHAN.
 
Back
Top Bottom