Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,888
- 1,570
Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.
Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!
Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.