Namshauri Jaji Chande akimbie nchi, akiwa nje atueleze ukweli kuhusu uchunguzi wao

Namshauri Jaji Chande akimbie nchi, akiwa nje atueleze ukweli kuhusu uchunguzi wao

Tunajulikana kwa kusahau baada ya muda mfupi, hilo wazo la kukimbia hana, na akiwa nalo hizo nguvu hana.
 
Watanzania nadhani tuna shida kubwa. Yaani Chande aandike ripoti nzuri na ya kweli, Samia akatae, aifanyie uhariri iwe ya uongo, halafu ampe Chande aisome! Ukitumia logic ndogo tu utaona haiwezekani. Hivi unajua ni kwa nini Samia hakutumia mtu kama Warioba? Jibu ni kwamba Wariaba asingekubali kufanya huu ujinga. Kitendo cha Chande kukubali uteuzi kinaonyesha kabisa huyo mzee ni corrupt na alikuwa overrated. Yaani mnashindwa hata kuona dalili zilitokea wakati tume inakusanya ripoti za kuanza kuficha uwazi?
Pingapinga katika ubora wenu.
 
Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.

Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.

Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!

Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.
Hii ya uchunguzi ni zuga tuu kuridhisha wananchi na mataifa ya nje.
Labda nkueleze siku 2 mbele yaa ya mauwaji /maandamano kuisha, upande wa jeshi la wananchi kulitolewa makamanda (tena makomando wa ngazi za juu)walifanya uchunguzi kimya kimya mtaani na walijua kila kitu)nina rafiki yangu ambaye ni meja ni miongoni mwa waliokuwa front kwenye uchunguzi walifanya uchunguzi wao wakajua kila kitu na nadhani hata hao polisi hawakujua
Na tangu simu ile mpaka sasa kinya lakini majibu serikali inayo.
Naomba niishie hapo
 
Back
Top Bottom