Kama ripoti ni ya Rais watapelekaje ripoti inayopingana na maono yake. just by common sense. Tume wametimiza wajibu wao kwa mujibu wa hadidu za rejea walizopewaWanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.
Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!
Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.
Watanzania nadhani tuna shida kubwa. Yaani Chande aandike ripoti nzuri na ya kweli, Samia akatae, aifanyie uhariri iwe ya uongo, halafu ampe Chande aisome! Ukitumia logic ndogo tu utaona haiwezekani. Hivi unajua ni kwa nini Samia hakutumia mtu kama Warioba? Jibu ni kwamba Wariaba asingekubali kufanya huu ujinga. Kitendo cha Chande kukubali uteuzi kinaonyesha kabisa huyo mzee ni corrupt na alikuwa overrated. Yaani mnashindwa hata kuona dalili zilitokea wakati tume inakusanya ripoti za kuanza kuficha uwazi?Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.
Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!
Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.
Hapo alipo amamulikwa kwa tochi hadi uvunguni,hata tiketi ile ya safari huenda ina vikwazo tayariWanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.
Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!
Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.
Anamulikwa kwa sababu gani? Yeye ni mmoja wao. Na nisikie ule ujinga wa kusema eti Chande ni mtu anayeheshimika, sijui bla bla za kuandika ripoti za wapi. Kongozi mwadilifu anakuwa tested wakati wa mazingira magumu kama haya.Hapo alipo amamulikwa kwa tochi hadi uvunguni,hata tiketi ile ya safari huenda ina vikwazo tayari
Huyu mzee amepata shida sana kuitoa taarifa hii kama ilivyo.Consciousness yake ilionekana wazi inakataa report.Nakataa kabisa kwamba CV bora inatoa matokeo halisiWanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.
Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!
Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.
Ameshavuka umri wa kukimbia nchi, isitoshee hapa kwake ni kama peponi, anawezaje kukimbia kwa umri huo ili akaseme ukweli na aache mapochopocho.Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya watawala kuona itawakaanga wakajifanya kuio gezea tume muda ili kuihariri na hatimaye tumesomewa kitu kingine, hii imejidhihirisha kwenye hutuba ya mama mara baada ya kusomewa ripoti na jinsi Chande mwenyewe alivyokuwa akiisoma kwa kukosea kosea.
Ushauri wangu kwa Chande ni Bora akimbie nchi halafu auseme ukweli wa kile tume iligundua ili Taifa lipone, majibu ya tume ni kama yameongeza mpasuko wa Taifa. Yameacha maswali mengi sana!
Mwisho, nawasihi sana tusikubaliane na huu ulaghai wa Serikali kupitia tume hii ya Chande.
Kwangu bora hata huyo Chande, Kuna yule Mwambengele alietangaza ushindi wa asilimia 98 huku nchi iliwa imechafuka vile,Watanzania nadhani tuna shida kubwa. Yaani Chande aandike ripoti nzuri na ya kweli, Samia akatae, aifanyie uhariri iwe ya uongo, halafu ampe Chande aisome! Ukitumia logic ndogo tu utaona haiwezekani. Hivi unajua ni kwa nini Samia hakutumia mtu kama Warioba? Jibu ni kwamba Wariaba asingekubali kufanya huu ujinga. Kitendo cha Chande kukubali uteuzi kinaonyesha kabisa huyo mzee ni corrupt na alikuwa overrated. Yaani mnashindwa hata kuona dalili zilitokea wakati tume inakusanya ripoti za kuanza kuficha uwazi?
Ripoti ya Jaji Chande ndio hiyo. Mkitaka nyingine tofauti basi iandaeni ya kwenu ya ukweliWanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.