Namshauri Jaji Chande akimbie nchi, akiwa nje atueleze ukweli kuhusu uchunguzi wao

Tunajulikana kwa kusahau baada ya muda mfupi, hilo wazo la kukimbia hana, na akiwa nalo hizo nguvu hana.
 
Pingapinga katika ubora wenu.
 
Hii ya uchunguzi ni zuga tuu kuridhisha wananchi na mataifa ya nje.
Labda nkueleze siku 2 mbele yaa ya mauwaji /maandamano kuisha, upande wa jeshi la wananchi kulitolewa makamanda (tena makomando wa ngazi za juu)walifanya uchunguzi kimya kimya mtaani na walijua kila kitu)nina rafiki yangu ambaye ni meja ni miongoni mwa waliokuwa front kwenye uchunguzi walifanya uchunguzi wao wakajua kila kitu na nadhani hata hao polisi hawakujua
Na tangu simu ile mpaka sasa kinya lakini majibu serikali inayo.
Naomba niishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…