Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto kubwa yeye ni mfupi. Ni muda muafaka kocha kumtafuta mlinda mlango mwingine.
 
Unapendekeza awe na urefu gani

Maoni yako plz.
 
Matokeo ngapi ngapi mkuu?
 
Mistake ya kawaida anafungwa degea na kina buffon na neur sembuse manula? C'mon man
 
Aisee kweli kabisa,lakini hata hawa makocha wote wawili si walishusha vilabu walivyokuwa wanafundisha?
 
peter chek n mrefu zaid ya de gea bt de gea is always the best...yangaaaaaa achen zenu mwacheni mtoto wa msimbaz afanye yake golini ubovu wake baada ya kuhamia simba au?
 
Uko sahihi sana ! Yule Said Mohamed yuko wapi ? Uzuri Mayanga ananifahamu nikiamua ang'olewe ataondoka asubuhi tu .
 
Kipa wa matopeni/mchangani Fc huyo kwa hiyo usishangae hahahah

[HASHTAG]#PovuSitaki[/HASHTAG]
 
Tatizo la stars ni tatizo kubwa kuliko huyo Manula. Kwani kabla ya Manula tulifanya nini cha maana alichokuja kuharibu ? Tukae chini tujitafakari tutengeneze vipaji
 
Uko sahihi sana ! Yule Said Mohamed yuko wapi ? Uzuri Mayanga ananifahamu nikiamua ang'olewe ataondoka asubuhi tu .
Ana subiri Safari ya kwenda India kutibiwa, uongozi wa Simba kila siku wana mpiga carenda.
 
Aishi Manula ni Mfupi??
Duh
 

Manula siku zote ana udhaifu sana....Ila kwa sasa sidhani kama tuna kipa mwingine kumzidi....Ila mechi ya leo imethibitisha mambo kadhaa. Moja refa Nkongo is a serious man and a serious referee for that matter...Pili...nidhamu kwa wachezaji wetu ipo chini mno...Tatu, Nyoni na Muzamiru mara nyingi kwenye ligi huwa wanafanya upuuzi kama huo na hawaonyeshwi kadi...Leo wamekutana na Nkongo...bravo, Nkongo...Tukiwa na waamuzi watatu au wanne kama Nkongo kwenye ligi yetu kuu ya soka nadhani kiwango cha soka letu kitapanda...
 
Hakuna cha ubovu wa manula,ila timu yetu ni tia maji tia maji.
 
Manila siku hizi maisha angalia magoli aliyofungwa na Mbao.
 
Hakuna cha ubovu wa manula,ila timu yetu ni tia maji tia maji.
Huenda kweli Manula sio mbovu ila kiukweli ktk siku za karibuni jamaa amekosa umakini langoni! Labda kwa kuwa anasifiwa sana hasa na watu wa timu yake ya Simba na pia ameona hakuna kipa mwingine wa kumpa changamoto! Anafungwa magoli ya kipuuzi lazima asemwe ili ajirekebishe! Kumbuka mechi ya mbao wale madogo walivyo mtungua! Asipojirekebisha atapotea mapema sana!
 
Timu mbovu yote leo niliangalia mpira kwa sababu nilikua napmzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…