Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

Huenda kweli Manula sio mbovu ila kiukweli ktk siku za karibuni jamaa amekosa umakini langoni! Labda kwa kuwa anasifiwa sana hasa na watu wa timu yake ya Simba na pia ameona hakuna kipa mwingine wa kumpa changamoto! Anafungwa magoli ya kipuuzi lazima asemwe ili ajirekebishe! Kumbuka mechi ya mbao wale madogo walivyo mtungua! Asipojirekebisha atapotea mapema sana!
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani anafanya makosa,anaishi kwa mazoea baada ya kukosa mpinzani.
 
Ajabu mtu hata timu daraja la 3 hawekwi Benchi hi leo anasema Manula hafai !
Wekeni Bashite basi.
 
Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto kubwa yeye ni mfupi. Ni muda muafaka kocha kumtafuta mlinda mlango mwingine.
Manula mfupi???
 
Ukisoma huu uzi fasta fasta unaweza fikiri akitolewa Manula basi tutaenda Russia mwakani.
 
Manula ni golikipa mzuri saana amejionesha hilo akiwa na kikosi cha Azam FC na maisha ya ujumla kule Azam.

Tujiulize maisha yake mapya ni sawa sawa na alikotoka ? Watu wanaomsimamia ni watu sahihi kweli?

Hata Mimi sishangazwi na goli lile la Jana na Malawi ? Kinachonishangaza ni magoli rahisi anayofungwa siku za hivi karibuni?

Au tuseme naye AMECHOKA?
 
Ni ujinga tu, ni mchezaji yupi wa stars alionyesha kiwango? Timu bovu kabisa. Manula angekua mbovu kwa kiwango cha wachezaji wa ndani tungepigwa tano leo
 
Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto kubwa yeye ni mfupi. Ni muda muafaka kocha kumtafuta mlinda ungeshauri kwanza atafutwe mwalimu ,,hatuna mwalimu kabisa pale wachezaji wanacheza kila mtu kadiri anavyojua yeye...Golikipa ni kitu cha mwisha kabisa kufikiri kwenye timu nzurii.
 
Goli alizofungwa na Mbao ilikuwa sababu tosha kumpa nafasi mwingine mechi hii
 
Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto kubwa yeye ni mfupi. Ni muda muafaka kocha kumtafuta mlinda mlango mwingine.
Mkuu wewe ni golikipa?? Mwambie kocha akuteue uwe golikipa wa stars!!

Au la tafuta kwenye ukoo wenu golikipa!
 
Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto kubwa yeye ni mfupi. Ni muda muafaka kocha kumtafuta mlinda mlango mwingine.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom