Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani anafanya makosa,anaishi kwa mazoea baada ya kukosa mpinzani.Huenda kweli Manula sio mbovu ila kiukweli ktk siku za karibuni jamaa amekosa umakini langoni! Labda kwa kuwa anasifiwa sana hasa na watu wa timu yake ya Simba na pia ameona hakuna kipa mwingine wa kumpa changamoto! Anafungwa magoli ya kipuuzi lazima asemwe ili ajirekebishe! Kumbuka mechi ya mbao wale madogo walivyo mtungua! Asipojirekebisha atapotea mapema sana!