Leo nimefuatilia mchezo baina ya Taifa Stars na Malawi. Kwa kweli uwezo wakipa wetu ni chini ya kiwango. Goli alilofungwa halikufaa afungwe hata kidogo. Siyo maakini anapokaa golini na changamoto kubwa yeye ni mfupi. Ni muda muafaka kocha kumtafuta mlinda mlango mwingine.